Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Prof. Omari Shabani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Prof. Omari Shabani
Songwriter
Lyrics
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Yule si wako, nami si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe

Kwako hayuko, kwangu hayuko, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Wewe una wako nyumbani, nami nina wangu nyumbani, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Nasema sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Yule si wako, nami si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Wewe una wako nyumbani, nami nina wangu nyumbani, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Nasema sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana, sina makosa
Written by: Prof. Omari Shabani