Lyrics
Introo
Hello my Nimekumiss Sana Nakusabahi
Ona nilikuona hufai
Nimepigwa na kitu kizito kichwani
Mhh
Mi Mvumilivu usinitupe
Basi ivyo japo mi unikumbuke
Hata namba ushasema nifute
Usifanye ivyo utafanya niumbuke Yaniii
Sawa nilikukosea sana na mi ndo chanzo
Mpaka kugombana aaah
Mbona mi nilikucheat sana
Ulivumilia vingi sana Na bado
Mi nilizidisha kukupiga aaah
Mateso kwako ikawa kawaida Ah
Mi nilikosa huruma nikawa kama mnyama
Ona Mi Nimekukumbuka
Aaaaah Aaaah I miss You
Aaaah Aaah I Miss You
Aaaah I miss you
Aaah I miss You
Lako penzi lanitesa Sana
Nimekukumbuka Yani mwisho jana
Unajua mapenzi kinyama nyama
Iyo ndo sababu kwako Nang'ang'ana
Nimejaribu sana kukufuta
Kwenye moyo wangu Na bado Nakukumbuka
Nimekiri makosa na nimejuta
Au unasubiri mpaka mi nije kufa
Kila nikifikiria ayaayaaa
Machozi yanitiririka Vibaya
Nilokufanyia mabaya
Nilikufanyia vingi nilikuona
Sio kama sikupendi Nilikuchoresha
Nilifanya visa vingi vingine We hupendi
Nikajichekeshaaa aaahaaaa
Asa roho ndo inauma
Nikikutana nawe ukiuchuna
Mwenzako moyo Unaniuma
Nami binaadamu nahitaji msamaha
Sawa nilikukosea sana na mi ndo chanzo
Mpaka kugombana aaah
Mbona mi nilikucheat sana
Ulivumilia vingi sana Na bado
Mi nilizidisha kukupiga aaah
Mateso kwako ikawa kawaida Ah
Mi nilikosa huruma nikawa kama mnyama
Ona Mi Nimekukumbuka
Aaaaah Aaaah I miss You
Nimekukumbuka sana yani mwisho jana
Nimukukumbuka weee
Aaaah Aaah I Miss You
Najiona nanuka dhambi kwa yale nilofanya kwako
Aaaah I miss you
Mi bado nakuhitaji ni muhimu Uwepo Wako
Aaah I miss you
Najiona nanuka dhambi
Yani mwisho jana nimekukumbuka we
Lyrics powered by www.musixmatch.com