Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Immu Jay
Composer
Lyrics
Ndo kusema nina bahati Mbaya Mbaya aaah
Yale yote mema umeyageuza mabaya hayaa
Mwenzako bado Mi naugua
Ugonjwa wa mapenzi unanisumbua
Sambona Moyo Wangu usugua
Ona Naishi kwa tabu eeeh
Najitahidi Anitoke Nisimmiss
Hata machozi yakitoka nisihisi
Ndo inamaana kalivunja Ibirisi
Kunipenda haiwezekani Haiwezekanii
Oooh Ooh Oooh
Ah! Angenambia
Kama anipendi Anitaki Tena mimi
Bora Angenambia
Kuliko kunifanya Niugue mapenzi mimi
Basi Angenambia
Leo anipendi Anitaki kuniona
Bora Angenambia
Nimekubali kufuta namba Zako
Nimekubali kufuta Picha Zako
Nimekubali Naondoka mimi Kwako Haina Haja
Inamaana zile ndoto zimepoteaga
Unafanya mi nijute kukupendaga
Na hata ivyo kuna muda nakukumbukaga
Na umefanya Nichukie Mapenzi
Kwenye kina cha bahari
Kwanini Nilizamazamaa
Mapema ningejua ningejitoa mapema aah
Nisingebaki Mwenyewe
Najitahidi Anitoke Nisimmiss
Hata machozi yakitoka nisihisi
Ndo inamaana kalivunja Ibirisi
Kunipenda haiwezekani Haiwezekanii
Oooh Ooh Oooh
Ah! Angenambia
Angenambia eeeh eeh eeeh
Bora Angenambia
Basi Angenambia huenda mi aaah ningemsikia
Ah! Angenambia
Kuliko Manyanyaso shidaa
Bora Angenambia
Kwenye kina cha bahari
Kwanini Nilizamazamaa
Mapema ningejua ningejitoa mapema aah
Nisingebaki Mwenyewe
Bora Angenambia
Written by: Immu Jay