Zuchu 熱門歌曲
類似的歌曲
積分
演出藝人
Zuchu
聲樂
詞曲
Zuhura Othman Soud
詞曲創作
製作與工程團隊
Mr. LG
製作人
歌詞
Ah Pablo, ukigusa biti nashtuka
Naona kama napanda mizuka
Na kichwani shanijaa chupa
Ah Pablo, ukigusa biti nashtuka
Naona kama napanda mizuka
Na kichwani shanijaa chupa (Mr. LG)
Lazima irudiwe sababu nnataka tena
Hili goma noma limemkuna kwenye mtima
Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema
Kwanza mnipepee, nina jasho mwili mzima
Haya sasa, vidaleki antenna, zungusha antenna
Vidaleki antenna, zungusha antenna
Vidaleki antenna, zungusha antenna
Vidaleki antenna, zungusha antenna
(Eya, eya, eya, eya)
Eh, piano iyo ih, piano iyo ah
Na biti la LG, bana linanoga
Piano iyo ih, piano iyo ah
Na biti la LG, bana linanoga
Ebu kwanza tucheze munike
Mwite yule aje akatike
Ashurey, ndo atetemeke
Nzowa mkono, upande ushuke
Twende vimacho we nipe vimacho
Haya vimacho tikisa vimacho
Twende vimacho we nipe vimacho
Haya vimacho tikisa (eya)
Lazima irudiwe sababu nnataka tena
Hili goma noma limemkuna kwenye mtima
Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema
Kwanza mnipepee nina jasho mwili mzima
Haya sasa, vidaleki antenna zungusha antenna
Vidaleki antenna zungusha antenna
Vidaleki antenna zungusha antenna
Vidaleki antenna zungusha antenna
(Eya, eya, eya, eya)
Ah Pablo, ukigusa biti nashtuka
Naona kama napanda mizuka
Na kichwani shanijaa chupa
Ah, (comics Lizer)
Writer(s): Zuhura Othman Soud
Lyrics powered by www.musixmatch.com