Mejja 的热门歌曲
类似歌曲
歌词
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Saa tisa kamili ndio mi naamka eh!
Naumwa na mifupa
Nilicheki mlango yangu imefunguliwa
Lakini kwa nyumba ndani hakuna kitu imeibiwa
Kujichanganya
Kujikanganya
Kweli jana ni nini mi nilifanya
Hizi ma-dent kweli nilipigwa nganya
Sina memory
Manze sina clue
Nakuta nimesota kwa meza tu ni mablu
Nakutana na jirani yangu huo mkamba
Nikienda loo namsalimia habari mama
Kwa hasira anajibu atahama
Kuzimana na kuniletea majabu
Ni nini nilinfanyia maajabu
Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu Maajabu
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Naenda base waniambie nilifanyaje
Kufika base wasee wanacheka sana
Mazee jana Mejja ulikuwa umewezekana
Mpaka kindukilu unavuta muhadhara
Wacha
Eeh! kwanza mbele ya wamatha
Si unajua bartender, wa pale juu
Eeh! Si ni ule matha mnono ana miguu
Ata jana ni ye ulikuwa umekatia
Umemshika waist mzee nakuambia
No wonder nimejikuta nagonjwa
Kijana nadhani ata phone amesanya
Mejja nakuambia pombe zako mbaya
Kama inawezekana usiguze bana
Bana bana bana bana bana bana bana bana bana bana bana
Usiguze bana
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nilikunywa (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Si unajua yule matha Kathanga
Eeh, yule mana alikuwa na matanga
Jana ulikuwa unamwambia ana mahaga
Jo! Kweli pombe zangu mbaya
Na gava kuchezea faya
Ukiwaambia eti wewe ni Okwonkwo
Huku mtaani eti wewe ndio sonko
Kama si kama, ungeshikwa
Ungejikuta kortini ukishtakiwa
Hizi dent nilichapwa vibare
Mazee ulichapwa ndio uende ulale
Eeh! hii pomber nitasare
Aah! Mejja! saa niaje mzee?
Aah! Sema jo, kuna vile?
Si u-come hivi basi nikuchukulie kamoja
Lakini Mejja si emesema emeacha pomber
Aah, wee wacha, pombe siachi leo, nitaacha
Ke- ke- ke- ke- kesho!
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Kweli jana kuliendaje (aje)
Kweli jana nililewaje (aje)
Kweli jana nilifanyaje (aje)
Yo wasee niambie, kuliendaje
Writer(s): Major Nameye Khadija
Lyrics powered by www.musixmatch.com