Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Khadja Nin
Performer
Nicolas Fiszman
Bass Guitar
Philippe Mobers
Percussion
Chorale "X-Horus"
Performer
Ange Ferdinand Nawasadio
Background Vocals
Gabriel Madiata
Background Vocals
Alexia Waku
Background Vocals
Daddy Waku
Background Vocals
Mamido
Background Vocals
Heritier Ngungu
Background Vocals
Lionnel Sonna
Background Vocals
Sylvie Nawasadio
Background Vocals
Sabine Kabongo
Background Vocals
Marie Daulne
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Stevie Wonder
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Nicolas Fiszman
Producer
Djoum
Producer
Kevin Mulligan
Producer
Lyrics
Ahiya, ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa pepo
Mimi maskini
Sina mali, mali, sina deni
Mali yangu baba
Nanyesha kama mvua
Naruka kama ndege
Nacheka kama mtoto
Ahiya, mama ahiya
Sina haja, ya kitu
Mimi napona
I'm free (ah-ah) kama maji (ah-ah)
Natembea mpaka katika pori
Mimi, mimi maskini
Sina mali, mali, sina deni
Mali yangu baba
Naota kama maua
Napita kama nyota
Nawaka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Naingia mpaka fasi inapenda
Mimi, ni maskini
Sina mali, mali, sina deni
Mali yangu baba
Naona kama macho
Nawaka kama moto
Nalia kama ngoma
I'm free (oo-oo) kama maji (oo-oo)
Natembea mpaka katika pori
Kama hewa, kama macho, kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free (kama hewa, kama macho)
I am free (kama nyota, kama maji)
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya (ah-ah) mama ahiya (ah-ah)
Sina mali, Mungu, sina deni
Written by: Stevie Wonder