Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bensoul
Bensoul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bien Aime Alusa
Bien Aime Alusa
Songwriter
Benson Mutua
Benson Mutua
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Hendrick Sam
Hendrick Sam
Producer

Lyrics

[Verse 1]
There's so many things you need to pray for
So many die who could live more
Sijui ka ntaona kesho
Hakuna mwizi kama kifo
Mother anafuta machozi na leso
Lord are you teaching us a lesson
Ninapigana na mapepo
Hizi ndo siku za mwisho
[Chorus]
Ooh kuna emergency
Mtaani kuna tragedy
Form ni gani hawatujali
Maana kuna war
Na kabla tudedi
Mtatusoma kwa gazeti
From page sio kwa obituary
Oh maana kuna war
[Bridge]
Hauwezi find peace in a war war war war war war
Hatuwezi find peace in a war
In a war
[Verse 2]
If I die today
Another will rise tomorrow
Come and never fails soon nataka ku follow
Mkipita forty days
Muende holiday
[Verse 3]
The devil plays
Soon you gonna pay
All the blood in your hands
All the lies that you do
[Verse 4]
The sitting on the fence
Calling you defence
Create intelligence
Killing many innocent
War war war war war war
[Verse 5]
Kuna emergency
Mtaani kuna tragedy
Form ni gani hakuna kazi
Ndo maana kuna war
Kuna war
Na kabla tudedi
Mtatusoma kwa gazeti
Watu wamezikwa na wazazi
Ndo maana kuna war
[Chorus]
Kuna emergency
Mtaani kuna tragedy
Form ni gani hata hatulali
Ndo maana kuna war
Kuna war
Na kabla tudedi
Mtatusoma kwa gazeti
Watoto wakizikwa na wazazi
Ni lazima kuna war
But hauwezi find peace in a war
In a war war war war
You're searching for peace in a war
In a war
Written by: Benson Mutua, Bien Aime Alusa
instagramSharePathic_arrow_out