Top Songs By BURUKLYN BOYZ
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
BURUKLYN BOYZ
Performer
Mr Right
Background Vocals
AJAY
Bass
COMPOSITION & LYRICS
Mr Right
Songwriter
Jayson Okanda
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wednesday Mistake Beats
Producer
Lyrics
Kwani ni kesho?
Mi ni boy wa kismart na
Ganji ziko m-pepe
Nadai kuongezea chain na
Juzi nimebai mapete
Na-na nikiingia kwa track
Si unajua ye hukuwa on teles
Drip inakata, shing! shing! kama machete
Sema boy wa kismart na
Ganji ziko m-pepe
Nadai kuongezea bling na
Juzi nimebai mangoto na nimengojea
Magrills najua zitakuwa zinamezesha
Expensive smoke
Style tunawasha huskii zinamezesha
Na siku hizi si bongi mob
Nawacha doh yangu itete
Mi sibishani nao
Nawacha doh yangu icheke
Siku hizi ni mathao
Ngwai sivuti hata ya chwepe
Ile time mi hukuwanga mfunny
Saa ile nachekesha kichele
Unadai nikuweke verse
Itabidi ulipe na dolare
Sikatai either way weh ni mdeadly bar
Huwezi shindana na kochari
Acha watoi warespect their parents
Unajua kina nani ndio their daddy
Uno mpenda magunga sijaicheza na unga
Niko juu na hazijashuka wananitest sijashtuka
Tuna nyamba wana nusa
Na shine kaa kipara ya Alusa
Mi ni boy wa kismart na
Ganji ziko m-pepe
Nadai kuongezea chain
Na juzi nimebai mapete
Na-na nikiingia kwa track
Si unajua ye hukuwa on teles
Drip inakata shing! shing! Kama machete
Sema boy wa kismart na ganji ziko
M-pepe nadai kuongezea bling
Na juzi nimebai mangoto na nimengojea magrills
Najua zitakuwa zinamezesha
Expensive smoke leo
Tunawasha huskii zinamezesha
(la-la-la-la-la-la-la)
Leo tunawasha huskii zinamezesha
Bling nimepiga inamezesha
Naskia inateleza bad b
Wako kando wanachezesha
Hiyo dogo inamezesha
Ma-neighbours wanatetesha
Nikikanyaga booth machine
Maboy wanamezesha
Mi ni boy wa kismart na
Ganji ziko m-pepe
Nadai kuongezea chain na
Juzi nimebai mapete
Na-na nikiingia kwa track
Si unajua ye hukuwa on teles
Drip inakata shing! shing! kama machete
Sema boy wa kismart
Na ganji ziko m-pepe
Nadai kuongezea bling na
Juzi nimebai mangoto na nimengojea
Ma grills najua zitakuwa zinamezesha
Expensive smoke leo tunawasha huskii
Zinamezesha
Written by: Jayson Okanda, Mr Right