Top Songs By Jovie Jovv
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jovie Jovv
Performer
Christopher Gichuki
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Christopher Gichuki
Songwriter
Richard Chessoni
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
KellyThaGreat
Producer
Lyrics
247 tuko active
Tunaget hii ganji
Mali joh ni safi
Zenu hazibambi
Nipate nakibad b****
Vibe iko fantastic
Ye ni kifanatic
Niliipiga hat trick
Nimeivisha tactics
Street mathematics
Nimepiga practice
Sina wasiwasi
Drip makamasi
Hii si sarakasi
Hapa tuko kazi
Na mwendo joh ni kasi
Nikichapa io kitu uitiwe io ni chapati
Ati dem ananiuliza kwani hii ni ya nini juu hatulali
I used to f*** with a trapper lil b**** she told me I ain't sure if you trust me
Big shlime I'm a stepper nah s*** is legit I'm the big makamasi
Dawa ya nyoka makasi
Pastor wa moto ni pasii
I'm cutting off ties like I'm cutting off kazi
Minding my business and made me a profit
My name is always a topic
But lately I been on my demon time bully but when kick out know we toxic
Niko stu na mabandi
Hawajulikani
Ulete utiaji utapigwa patipati
Jovie Kamlesh Patni
Magoro zako mbwakni
Niko trap harakati manze jovie ni kigwangi
Hii ni capitalism
Naseti ki organism
Hii ni rap symbolism
Dem alipata orgasm
Jovie ni ki heretic
Nimekufia mamelanin
Told her baby benaki
Come nikupatie salary
247 tuko active
Tunaget hii ganji
Mali joh ni safi
Zenu hazibambi
Nipate nakibad b****
Vibe iko fantastic
Ye ni kifanatic
Niliipiga hat trick
Nimeivisha tactics
Street mathematics
Nimepiga practice
Sina wasiwasi
Drip makamasi
Hii si sarakasi
Hapa tuko kazi
Na mwendo joh ni kasi
Written by: Christopher Gichuki, Richard Chessoni