Music Video

Heavy Cane & Unspoken Salaton - Siri | Official Music Video
Watch Heavy Cane & Unspoken Salaton - Siri | Official Music Video on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Heavy Cane
Heavy Cane
Performer
Unspoken Salaton
Unspoken Salaton
Performer
Julius Baya Charo
Julius Baya Charo
Vocals
Nancy Njeri
Nancy Njeri
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Julius Baya Charo
Julius Baya Charo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Brian Salaton Lemaindo
Brian Salaton Lemaindo
Producer

Lyrics

Natafuta mpoa,mzuri
Mwenye hatanipa stress nimueke kwa moyo
Wenzangu wanapewa gift, magari
We uko hapa unanistress usinitoe roho
Huu moyo umeumia, for a long time
Huu moyo umeteseka, for a long time
Huu mwaka wa kutulia, no more drama
Mi sitaki kulia, eei eei eeih!
Kwani Siri NI nini?....(Niambie)
Siri nii?
Wenzangu Siri NI nini?...(Niambie)
Siri nii?
I belong to you we jifanye hunioni
We nipite tu na me ndo wa rohoni
Mezaliwa ju yako,macho na mboni
We kipenda roho my one en only
Ā uliteseka mwaka jana mwaka huu (ni wetu )
Ulikosa doo mwaka Jana mwaka huu (ni wetu)
Hukupata mpoa mwaka Jana mwaka huu (ni wetu)
Imagine we ndo uko blessed huu mwaka ni we (we tututututu)
Kwani Siri NI nini?....(Niambie)
Siri nii?
Wenzangu Siri NI nini?...(Niambie)
Siri nii?
Huu moyo umeumia, for a long time
Huu moyo umeteseka, for a long time
Huu mwaka wa kutulia, no more drama
Mi sitaki kulia, eei eei eeih!
Kwani Siri NI nini?....(Niambie)
Siri nii?
Wenzangu Siri NI nini?...(Niambie)
Siri nii?
Written by: Julius Baya Charo
instagramSharePathic_arrow_out