Lyrics

Mi sina hope na system
Mi napiga joh mathafu niomoke
Mi na lil bro kwa kitchen
Si ndo ile mbogi unakutanga kwa choche
Mi sina time ya bitchez
Mi labda nisake joh kitu niwaoshe
Mi niko done na tissues
Stori za kubonga mafi usitokee
Mi sina hope na system
Mi napiga joh mathafu niomoke
Mi na lil bro kwa kitchen
Si ndo ile mbogi unakutanga kwa choche
Mi sina time ya bitchez
Mi labda nisake joh kitu niwaoshe
Mi niko done na tissues
Stori za kubonga mafi usitokee
Mi niko done na tokens
Leta hiyo ganji na ulete hizo zote
Mi nikipull up lazima mtoboke
Mfuko imeshona na lazima itoshe
Mi nina barz ka ocean
Saka hiyo ganji nikute vacation
Jina ni bigi lazima tumention
Mnoko imezama kwa mfuko ya pension
Mi sijai kunywa mahennessy
Najua mmemeza na siingizii
Usidai vurugu na mimi G
Mukuru atalia joh tiriri
Area no smoking sizimi hii
Kwa studio nimetulia na mon ami
Nikuwasha nawasha adi nawheeze
Nikipull up na blicky jisunde G
Mbona ni learn kuswim na sijapatana na samaki tembea
Mi sina chance ya pili, ka umekuja kuningora tembea
Fuck izo law za physics
Mc squared buda chorea
Nakukata into pieces
Exile nakimbia Korea
Eastside niko hear and there
Steak naipenda medium rare
Streets na Gs ndo wamenilea
Ass kwa bitch ndo mi nacare
Cheddah na bitchez hakuna kushare
Good things zinakuja in pairs
I'm almost there
Piga like na share
Yow
Written by: Mk Don
instagramSharePathic_arrow_out