Lyrics

[Verse 1]
First of all sina bahati ila poa na isije kwangu safii
Kwani siku zote hua naishije
Zingua now upigwe uaibishwe we staki
Nikupe moyo manake mimi nife we ubaki (eh!)
[Verse 2]
Sikosoi haki ila inatesa acheni
Nasikia aliyegundua pesa pia alikufa na madenii
Sasa si ujinga wa wazi kutumia ngazi chini ya uvungu
Wakati hizi surprise kabla hata ya Harmonize na mzungu
[Verse 3]
Ok shoutout to my all friends who became a family
Hatufanyi wa mziki trend na hii ndio kauli mbiu kamili
Na ukifahamu hii haushangai hawa pimbi wakinitukana
Ni kawaida kama hizi ndoa za bibi na vijana
[Verse 4]
Nishakua sasa na maana ya kupata ni kutumia
Tena hali ya sasa hata kwa buku unapata beer
Na supu ukitaka pia we mchuchu uliedata skia
Mi naishi ki rasta japo ni virasta vya kuzugia
[Verse 5]
Kila sehemu hamuoni kume stuck
Ugumu wa game ndo umefanya hadi kamillion amekua kalaki
So Waambeni hawa watoto wakuwe waache kucheza
Nyimbo zao ambazo ukisema ununue mia tisa inapendeza
[Chorus]
Oh green light unataka au hautaki
Mkiwaka tunawapa safii
[Chorus]
Tupo guda guda tena mbele ya wakati (Sio kesi)
Tushapuuza stress hatutaki (Hatuna)
Hatuna (Hatuna) hatuna hatuna
Ooh yeahh, yeah, yeah, yeah
Hatuna hatuna hatuna hatuna
Hatuna kesi na yoyotee
[Verse 6]
Hakuna superstar Bongo lete ustar wanakunyea
Utapigwa dongo watakukataa kwa shombo watakupondea
Watoto wa uongo kwenye makala za umbea
Na huo mjadala utakua mchongo kwa watu wa masuala ya kuongea
[Bridge]
Endelea ku-push push, sio kazi kuuza kush bab
Hamuwezi hu-gush gush, uswazi kuna wazushi mob
Town hadi bush bush, mduwanzi haunigusi babu
Wahuni tuna tusu-tusua, hatuifadhi chuki babu
[Verse 7]
Natoka chocho mtu mbaya naingia kati
Dawaya moto ni moto cha ajabu fire hutamia maji
Na ropo-ropo waso haya hujitia ushababi
[Verse 8]
Nyie watoto tuu mnastahiki juma nyosso au billnandy
Mabingwa wa majungu na yasio ingiza noti mifukoni
Mbu hapewi sifa kwa kupigwa kofi mgongoni
Hip hop misingi kuifuata nikutafuta njaa
Nishafeli mara nyingi sijaiacha au kukata tama
[Verse 9]
Nipo kitaa tu na wahuni suti wanainukisha bangi (Mafanikio)
Ni kama chupi hakikisha hawaijui rangi
Usawa ukikaba tunalia kwa baba jesca
Tunakaza party na inajaza hakuna anaetumia pesa
[PreChorus]
Oh green light unataka au hautaki
Mkiwaka tunawapa safii
[Chorus]
Tupo guda-guda tena mbele ya wakati (Sio kesi)
Tushapuuza stress hatutaki (Hatuna)
Hatuna (Hatuna) hatuna, hatuna
Ooh yeahh, yeah, yeah, yeah
Hatuna (Hatuna) hatuna, hatuna
Hatuna kesi na yoyotee
[Outro]
Hatuna, hatuna, hatuna, hatuna, oyeaah
Ilo ndo tatizo sugu so waabieni wana waweke traffic
Nyumba za wageni maana kule watu wanagongana
Hatuna kesi na yoyotee
Written by: ERICK THOM MGANGA
instagramSharePathic_arrow_out