Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Peter Jonathan Senyota
Peter Jonathan Senyota
Songwriter

Lyrics

Mmmmh,
Mhhm,
Ooh,
Aah mmh,
(Desekepi Music)
Nasema na moyo wangu,
Moyo tulizana,
Nasema na moyo wangu,
Basi tulia,
Nasema na moyo wangu,
Moyo tulizana aah,
Nasema na moyo wangu,
Aah,
Basi tulia,
Jina huna, hata fedha huna,
Bila maajabu, sasa vipi utatuna?
Ungetulizana nanana nana nana oooh oooh,
Ungetulia,
Rabiii,
Usinipe mapenzi,
Maana wapendwao hakuna,
Hakuna,
Hakuna..!
Aah aah,
Hakuna,
Mmh mhhh,
Hakuna..!
Mapenzi hayanaga formula huuu..
Badilika ghafula,
Leo kwako, kesho kwa mwenzako,
Aaah..!
Tulizana..!
Mapenzi hayanaga formula huuu..
Badilika ghafula,
Leo kwako, kesho kwa mwenzako,
Tulizana..!
Oyaa wee..
(Usibabaike na sura)
Oyaa wee..
(Ni kama picha kuchora)
Oyaa wee..
(Tantalila hazifai)
Mmh..! Ahhh..!
Usihadaike na sura,
(Ni kama picha kuchora)
(Aah moyo tulizana)
Ooh ohh,
Lele lele lele,
Oooh,
Mmh,
Ah ah aaahaa,
Mapenzi kama mtoto na peremende,
Haya ya siku hizi, hebu fanya twende,
Tusidanganyane kwa kuchora tattoo,
Mapenzi ya kweli yapo ndani ya moyo tuu,
Ila sio mimi na wewe,
Ni yale ya wazee wa zamani,
Walotufundishaga methali wale,
Walotufundisha vitendawili wale,
(Waleee walee leee)
Rabiii,
Usinipe mapenzi,
Maana wapendwao hakuna,
Hakuna,
(Hakuna)
Aaah aah,
(Hakuna)
Mhh mhh,
(Hakuna)
Mapenzi hayanaga formula huuu..
Badilika ghafula,
Leo kwako, kesho kwa mwenzako,
Aah,
Tulizana..!
Mapenzi hayanaga formula huuu..
Badilika ghafula,
Leo kwako, kesho kwa mwenzako,
Tulizana..!
Oyaa wee..
(Usibabaike na sura)
Oyaa wee..
(Ni kama picha kuchora)
Oyaa wee..
(Tantalila hazifai)
Mmh..! Ahhh..!
Usihadaike na sura,
(Ni kama picha kuchora)
(Aah moyo tulizana)
Ooh ohh,
Lele lele lele,
Oooh,
Mmh,
Ah ah aaaha,
Hadija nimpe kopa,
Nimuite Zuchu aje hapa,
Gigi anipe papa,
Oooh,
(Wote ni wale wale)
Shishi Food nimng'ang'anie,
Nile bure ninenepe na mie,
Esha Buheti wewe, Uwoya na Wema,
(Wote ni wale wale)
Tundaaaaa,
Eeeh nipeni Kyfa,
(Fitna after fitna)
(Desekepi na mi)
Wote ni wale wale
Written by: Peter Jonathan Senyota
instagramSharePathic_arrow_out