Credits

PERFORMING ARTISTS
Jefflawgan
Jefflawgan
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jefferson Chesebe
Jefferson Chesebe
Songwriter

Lyrics

Nalishwa vitamu kilasiku napewa
Maisha vulai ona vile natesa
Kama uko single niko single tutashare
Maisha matamu matamu bila pressure
Kama unapenda maisha matamu basi sema
Kama unapenda maisha matamu basi sema
Nalishwa nashiba nanona eh
Nikitaka napewa natosheka eh
Tena kama mtoto ona vile nadekezangwa
Nikipata kajoto mbio mbio napepetangwa
Kijana ya chesebe ameshika anatamba ka lumumba
Maisha vulai maisha matamu imesimama
Leo niko dubai kesho mombasa na zanzibar
maisha imesimama ah ah
Nalishwa vitamu kilasiku napewa
Maisha vulai ona vile natesa
Kama uko single niko single tutashare
Maisha matamu matamu bila pressure
Vile tuna proceed yea yea
Utafanya mini conceed yee
Mazuri nisha forsee
Harusi katikati ya deep sea
Sitaki ma commmittee najitambua nakuanga bossi
Utamu wa sossi unaujua sana mmaa
Nalamba glukosi niongeze nguvu ya ah ah
Nalishwa nashiba na tena nahisi njaa
Nikishindwa kuitisha tena nalala njaa
Chakula kitamu ukikula unataka tu kijirudia
Viungo vitamu mchuzi umezidi ntamalizia
Nalishwa vitamu kilasiku napewa
Maisha vulai ona vile natesa
Kama uko single niko single tutashare
Maisha matamu matamu bila pressure
Nalishwa vitamu kilasiku napewa
Maisha vulai ona vile natesa
Kama uko single niko single tutashare
Maisha matamu matamu bila pressure
Written by: Jefferson Chesebe
instagramSharePathic_arrow_out