Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ochiko
Ochiko
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ochiko
Ochiko
Songwriter
Kobby Worldwide
Kobby Worldwide
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kobby Worldwide
Kobby Worldwide
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Ma mapenzi, haitaki hasira
Inataka mwendo wa pole
Mwendo wa aste aste
Mwendo wa pole pole
[Verse 2]
Peleka pole pole, toka zamani ni wewe wewe
Roho ilitaka kuzama, na mimi ni nani nikapewa nafasi
Nikazama ndani na zaidi
Na mimi ni nani, nikapewa nafasi, nikazama ndani na zaidi
[PreChorus]
Urembo wako unanizidi uzito
Cha muhimu nakupenda, unanipenda
Upendo wako haujui mwisho
Unanipendeza, ninakupenda
[Chorus]
Naenjoy naenjoy (Naenjoy)
Mapenzi ma (Penzi heavy)
Amenipatata tumepatanana
Cha muhimu
[Chorus]
Naenjoy naenjoy (Naenjoy)
Mapenzi ma (Penzi heavy)
Amenipatata tumepatanana
Cha muhimu
[Verse 3]
Na kuna vile unavyonitazama
Unanitazama kwa pendo, ukishika huachili
Umesema huniwachi
Me ni wako, we ni wangu
Ndani ya roho mi ni wako
Macho yangu yawa macho yangu
Yamekuona wewe tu
Macho yangu yawa macho yangu
Yamekuona wewe
[PreChorus]
Urembo wako unanizidi uzito
Cha muhimu nakupenda, unanipenda
Upendo wako haujui mwisho
Unanipendeza, ninakupenda
[Chorus]
Naenjoy naenjoy (Naenjoy)
Mapenzi ma (Penzi heavy)
Amenipatata tumepatanana
Cha muhimu
[Chorus]
Naenjoy naenjoy (Naenjoy)
Mapenzi ma (Penzi heavy)
Amenipatata tumepatanana
Cha muhimu
Written by: Kobby Worldwide, Ochiko
instagramSharePathic_arrow_out