Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Deazy
Deazy
Performer
Ms.katana
Ms.katana
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Daniel Julian Riberholt-Rischel
Daniel Julian Riberholt-Rischel
Composer
Miriam Katana
Miriam Katana
Songwriter

Lyrics

Sisi si wafala
Wanainchi tuna chezwa siku hizi
Ata kama niko mbaki mixna chizi
Serekali watutesa ni waizi
Mlidhani sisi hatutawahi jua ukweli
Sisi si walafa, natushaa ungana x2
Tuta fatua mambi ifike mlango
Sisi si wafala natushaa ungana x2
Hatuwezi vumilia natunayo njia
Tuna jenga njia x 2
Huwezi fikiria ata kitu kido “kidogo”
Generation yetu nakwuambia tutawa show
Unadhani?
Mlidhani sisi hatutawahi jua ukweli
Sisi si walafa, natushaa ungana x2
Tuta fatua mambi ifike mlango
Sisi si wafala natushaa ungana x2
Hatuwezi vumilia natunayo njia
Tuna jenga njia
Unadhani?
Written by: Daniel Julian Riberholt-Rischel, Miriam Katana
instagramSharePathic_arrow_out