Credits

PERFORMING ARTISTS
SHAKIL G.I.G
SHAKIL G.I.G
Performer
COMPOSITION & LYRICS
SHAKIL G.I.G
SHAKIL G.I.G
Songwriter
Brian Simba
Brian Simba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
KASS
KASS
Producer

Lyrics

Intro:
Kass on the beat
Hook:
Hivi ni lini nyi mtapona, pona, pona?,
Hivi ni nani wa kuwaponya, ponya, ponya?
Hivi ni lini nyi mtapona, pona, pona?,
Hivi ni nani wa kuwaponya, ponya, ponya?
Verse 1: Shakil G.I.G
Hi! how are you? how you doing?
Imekuwa long time na hukui?
Wenzako wakipata upenyo haupumui,
Siku ukizishika hatupumui,
Leta ventilator ututangaze basi,
Si ulileta barakoa tukapengea kamasi,
Huachi kujihadhirisha mbele ya kadamnasi,
Yaani, unatupa maji tunywe tushakula nanasi?!,
Najipenda, that's the mantra, akipenda mwenyezi mwakani siwezi kuwa hapa,
Kwani sikuwa hapa, G.I.G na simba, what a Mash up!
Aye,
Nikitimba wanajua ni Mufasa, toka chuo mitaa ndo ilikuwa Campus,
Walio doubt ndo wanasema nimekuwa Fasta,
Above in a minute hope tiba imewapata,
Hook:
Hivi ni lini nyi mtapona, pona, pona?,
Hivi ni nani wa kuwaponya, ponya, ponya?
Hivi ni lini nyi mtapona, pona, pona?,
Hivi ni nani wa kuwaponya, ponya, ponya?
Verse 2: Brian Simba
Mpango ni kupanda juu,
Asubuhi tizi na mchai wenye karafuu,
Sprint to the money, Si nina press R2?,
Wallet ina tembo na manyati kama zoo,
Vision ya maGupta, Ndinga na machopa,
Naongelea mapikipiki na mahelicopter,
Mambo ya mabomba yalimponza Biggie Poppa,
Usalama ni kuishi vyema na manyoka,
So mysterious hata hawaelewi nilipotoka,
Hapa A-Town I'm a real estate broker,
Na ma-bro kadhaa, Hudhani Uncle ntadondoka,
Ila hata wakilia kadi me ndo nna majoka,uhn
Si ndo maana wana fura, Seeing a young **** Gettin Mulla,
Me nna swali moja kwa wakuda, maana nnavyoshinda sijui ni lini nitaacha kuwakula?
Written by: Brian Simba, SHAKIL G.I.G
instagramSharePathic_arrow_out