Top Songs By Wyre
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kevin Waire
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kevin Waire
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wyre
Producer
Lyrics
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Yule si wako nami si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe

Nasema sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana
Yule si wako, nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe

It seem you realy wanna fight me no want to, take away me time me no fight you
You really wanna fight but me nah wan fi spend all me time fighting over something that you know you can't fight
You've been a brother fi a long time (Long time), nothing coulda made we fi come fight (Come fight)
Call a truce coz me nah like (Nah like), how you confused boy youh na right (Nah right)
Hasira za nini wee bwana, hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba, wataka kuniua bure baba
Yule si wako nami si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Yule si wako nami si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Nasema sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana
Yule si wako, nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Nasema sina makosa wee bwana, sina makosa wee bwana
Yule si wako, nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Written by: Kevin Waire