Upcoming Concerts for Collé & Nes Mburu
Similar Songs
Lyrics
[Chorus]
Leo nimeshakupata
Aki si nimekuhata
Umekuwa wapii, wapii, mpenzi
Na sasa mi nishakupata
Kusema ukweli sijakuacha
Nitabaki nawe milelee, mpeenzi
Mpeenzi
[Verse 1]
Ni wewe nataka kila wakati, ni wewe nawaza kila wakati
Ni wewe nataka kila mahali, baby
Ni wewe nawaza kila wakati, usiku mchana mimi kweli sina
Yani nikikufikiriaa
[Verse 2]
Wewe
Kwani ulinipatia nini
Niambieulinipatia nini
Kutobeba kila wakati, kila wakati
[Verse 3]
Kila wakati nakufikiria wee
Na vile roho yangu mtende
Inakupenda-kupendaga
Na ndio maana
Mpenzi ninasema ninakiri, ninakiri ya kwamba mimi siwezi kukuwe
Kukuacha, kukuacha
Siwezi ku-aki mimi
Mimii
Mimii
[Chorus]
Nimeshakupata
Aki si nimekuhata
Ulikuwa wapii, wapii, mpenzi
Na sasa mi nishakupata
Kusema ukweli sijakuacha
Nitabaki nawe milelee, mpeenzi
Mpeenzi