Lyrics

Aaaaaaah Hance Paul All Day
Master Mind Music 🎵
Agripaaaaaaaaa
Yes
Aaaaaaaah
Bukta Ya Dogo Iliyotoboka Ndo iliyomfukuzisha shule
Kujiuza kwa mke wangu ndo kunatufanya tule
Tembele Dagaa kila siku ni kukabwa
Miezi sita watoto hawajui Test Ya Ubwabwa
Napigana napambana sometimes nashika spana
Mana life lishapinda Life halina maana
Wanasema ukila haramu kula ilionona
Jicho lililopasuka halifai tena kushona
Hata Siri ni akiba ndo mana inatunzwa
Sio miujiza wa mwisho kuwa wa kwanza
Kiziwi ninae skia majungu Kisha napuuza
Kuwa makini kuwa mpole leo ndo nakufunza
Rafiki akiwa pombe umejichimbia kaburi
Rafiki akiwa pesa usimchanganye na kiburi
Kipofu nae anaona unapompa taadhari
Mwanga wa mshumaa haufanani na wa kandiri Rrrhaaaaaaaaa
Life take it Easy
I’m Easy
Go Easy
I’m Easy on meee yeah yeah
Easy Easy
Oh Maybe Take it Easy
On these days
I’m Easy
I’m Easy on mee yeah yeah
Easy Easy
Easy Easy
Mdomo wako ndo sumu Tazama unachosema
Mganga akijiganga ni zaidi ya bubu kusema
Usiwe kima wa kuvuna usichokipanda
Mapenzi ndo maisha kuwa makini unapopenda
Unaweza lala kanisani ukafa ukaenda motoni
Ukalala bar na kesho ukaenda peponi
Sio skendo za mapenzi mlela na ebitoke,
Global view I.Q.U Sam kikeke
Napangua nakupanga niite hayati magufuli
Nawapeleka higher kisomi NIKI WA PILI
Sherehe ipo studio na chakula ndo mistari
Mziki umenitongoza na Leo natoa magari
Kuvaa pete ya ndoa haimanishi una Furaha
Wengi wanateseka maisha yao hayana furaha
Mmbwa Mwenye mnofu Huwa Hapigi kelele
Slow Down go hard Daima tazama Mbele
Life take it Easy
I’m Easy
Go Easy
I’m Easy on meee yeah yeah
Easy Easy
Oh Maybe Take it Easy
On these days
I’m Easy
I’m Easy on mee yeah yeah
Easy Easy
Easy Easy
Cried a long time got no tears no more,
Butterfly on my tummy don’t feel that no more,
The pain got familiar cause I’ve been here before,
Easy Easy
Life take it Easy
I’m Easy
Go Easy
I’m Easy on meee yeah yeah
Easy Easy
Oh Maybe Take it Easy
On these days
I’m Easy
I’m Easy on mee yeah yeah
Easy Easy
Easy Easy
Written by: Hance Paul
instagramSharePathic_arrow_out