Top Songs By BullFather
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
BullFather
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BullFather
Composer
Lyrics
Talk of the Town
This is crazy man
Hip hop hip hop hip hop
Lamaar kwa hizi beat HipHop itahit hata kwa mbinde
Mabovu
Ujasiri wa maisha yangu ndo unanipa heshima
Maisha niliyopitia naweza kuitwa mtu mzima
Sishangai kuona mtu hajala wiki nzima
Mimwenyewe nshapitia basi tuombeane uzima
Nawacheki madogo wanaleta kiburi
Wana act umentally nilioufanya sekondari
Gangster zaidi yao
Nishawahi kuwa pusha nshajua vicheche na nini kujirusha
Usitafute umaarufu kupitia mimi
Yachukie maisha yako usinichukie mimi
Na shine kama star maofisini mpaka mitaani
Na nnaijua njaa siogopi upinzani
Nashukuru Mungu kwa kunipa uzima
Kuwa na busara kijana mwenye hekima
Ukijaribu kupima basi jua nakuchora
Kama unaijua kazi huu ndio muda wa biashara
Naijua Hiphop sina beef na Bongo fleva
Nachowaza pesa sina muda wa kupoteza
Kuna vingine siwezi hata kuvisema
Kama unashindwa kujiheshimu hautopata heshima
Onesha uwezo usitegemee jina
Na kama huna line utaponiona kaa kimya
Kimya!
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ni mtoto wa ** nawakilisha Kino Clan
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ni mtoto wa ** nawakilisha Kino Clan
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Super man
Techniques na mahesabu makali zaidi ya chuma
Check waliokosa jibu wanavyoomba kumgezea Juma
Yule mtoto wa Mchopanga ndo mjukuu wa Muhammad
Bure ukienda kwa mganga haiwezi kukupa remedy
Nuks kama **
Mistari nnayoandika ni ugonjwa usiokua na ponya
Nenda kaulize madoctor nazunguka mwili mzima
Kama saratani ya damu navishusha kweli vina
Hawahemi kama wana pumu
Verse hadi verse adimu ** wanapanga foleni
Hii almasi sio ya damu kama ya Sierra Leon
Kwa madini nnayozindua mnadani bei mbaya sana
Uswahilini wananizimia uzunguni wanaenda koma
Kama mvivu shusha mzigo kabla haijaisha **
Sina love hata kidogo usije ukaleta kiburi
Nsije nikakupa kisogo ukaanza sema we ndo mkali
Kumbe *** hoja naisikia vizuri
Sio siri sipendi kumi toa sifuri niwe wakwanza
Yapili nyimbo wakati mnasubiri mie naanza
Mashairi yangeuzwa ukweli ungeelezwa basi ningeweza
Gari kuburuza mali na fedha kiasi kuongoza
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ni mtoto wa Sinza town nawakilisha fani hii
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ni mtoto wa Sinza town nawakilisha fani hii
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Mi ndo King wa rhymes mnanifahamu
Still King wa rhymes mziki kwangu kama hamu
Sishindani coz hakuna ataeweza kushindana
Sibishani coz hakuna ataeweza kubishana
Toka Ilala
Kwa wajanja Tanzania
Ila siidiss Temeke wala Kinondoni pia
Kote respect and love yo my fans i love y’all
Bado nakomaa siwezi shindwa nipo gado
Natimiza timiza malengo kadhaa
Nadaka chapaa mbishi toka mama kanizaa
Emcee mdogo kiumbo mkubwa sauti
Ona walovimba matumbo wanavyonipigia salute
Nazimimina pa pa pa pa pa papapa paa
Hakuna msamaha kwa wote wabishi wanaokataa
Wananishindwa mchangani hawatoniweza taifa
Wanashindania ku** ila nawazidi sifa
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ni mtoto wa Ilala nawakilisha fani hii
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ni mtoto wa Ilala nawakilisha fani hii
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Ngosha hapa
Sijajua nani ni Kibaki na nani ni Raila Odinga
Yupi anaetaka kubaki wakati raia wanampinga
Wanasema nipo juu kama moshi wa blazee
Fid Q sio king wa solo kama track ya shadee
Nahit mpaka soweto mitaa ya **
Nyekundu nyeusi kijani kama Marcus Garvey
Pumzika pema kwa amani ashee asheee
Kuanzia Africa mpaka ulaya nina bang nyie
Sio tu mwenge mpaka posta maujanja supplier mie
Mbuyu kabla haujawa mkubwa nao ulianza kama mchicha
Hata jogoo alikua yai that’s why hamuipati picha
Nalianzisha kama baba stylez
Niko na Geez Mabovu mtoto wa Iringa dirty south
Lakini usiamini kila kitu unachosikia
Hata kama ni mimi nimekuambia
Fid Q ni mpole lakini Farid ni bandidu
Sio mdogo kama Ditto kuweni wadogokama mimi
Sio mnaleta mabeef hapa haina bobo wala majibu
Na hizi wala sio nyodo
Ukitanua miguu Fid Q anakupiga tobo
Watoto wanapenda ku rap maboss wanataka waimbe
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ndo wa Mwanza mwanza nawakilisha fani hii
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii
Mi ni zaidi ya msanii
Mi ni kioo cha jamii
Mi ndo wa Mwanza mwanza nawakilisha fani hii
Mi ni A we ni Z
Mambo ya uzushi sifagilii
Mi ni kamanda wa jeshi makuruta wananitii