Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Le'Laika
Le'Laika
Performer
WALLACE
WALLACE
Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Waka Waka
Waka Waka
Composer
Rosemary Nyariara Njoroge
Rosemary Nyariara Njoroge
Composer
Stephen Nyankuru
Stephen Nyankuru
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Waka Waka
Waka Waka
Producer

Lyrics

(Le’Laika)
 
You took my time,
Na sitawai pata tena...no..
You had my life,
Si ungeniambia mapema,yeeeah...
And no lie,
Sikudhani tungeachana..
Cause in a way,
You were everything I lacked...
 
Sasa nawaza kila siku,
Mbona hukua mwaminifu?
I scratched your back
And tried to be true...
But it just feels like a game to you
 
Wafanya penzi liwe mchezo,
Vile wanicheza,
Mi si uwanja wa mchezo...
Mbona wanicheza? ×2
 
(Kapela)
 
Hujawai ona mwingine na macho,
Akina nani wana kujaza mawazo?
Tukisonga wanaturudisha mwanzo,
Baby,
Siwezi kucheza..
 
Cause I’m,only,falling,for you,
Even when they're calling,nakata cause I’m loyal
Why you walking out the door knowing I adore you?
Baby,siwezi kucheza...
 
Haya mapenzi si mchezo,
Siwezi kucheza...
Huu si uwanja wa mchezo,
Siwezi kucheza..... ×2
 
(Laika)
Wafanya penzi liwe mchezo...
 
(Kapela)
Siwezi kucheza..
 
(Laika)
Mi si uwanja wa mchezo...
 
(Kapela)
Siwezi kucheza...
Haya mapenzi si mchezo,siwezi kucheza...
 
(Laika)
Mi si uwanja wa mchezo
 
(Kapela)
siwezi kucheza...
Written by: Rosemary Nyariara Njoroge, Stephen Nyankuru, Waka Waka
instagramSharePathic_arrow_out