Credits
PERFORMING ARTISTS
Vibe Tribe
Performer
Ziki
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ziki
Songwriter
Lyrics
Swahili
(jaguar)
Mapenzi ni bahari, lisilo na mwisho,
mapenzi ni moto,
kwa roho na haichomi,
(zikki)
nimempenda msichana, wa kisonko,
Mihumuona kwenye ndoto usiku, nikiwa ghetto
ye huishi runda,
kwetu ni dandora,
kunarushwa makombora,
na kumenjaa wakora
(jaguar)
lakini je ye anakupenda,
najua we unampenda,
basi nenda polepole,
siku moja utampata,
(refrain)
mpenzi wangu never leave me,
mpenzi wangu twende polepole
(take it slow a you go step by step)x2
(zikki)
(anabonga tu kilami, na hapendi mama pima,
hapendi za madondo, anataka tu mapizza)x2
(jaguar)
enda polepole bado ninasaka,
chochote unataka, with time utapata
hakuna matatax3
enda polepole, bado ninasaka
(refrain)
mpenzi wangu never leave me,
mpenzi wangu twende polepole
(take it slow as you go step by step)x2
Writer(s): Ziki Bar, Stas Marnianski
Lyrics powered by www.musixmatch.com