Credits
PERFORMING ARTISTS
Zorah
Background Vocals
DJ Kassu
Music Director
H-D
Background Vocals
Kassumpa Adrian Machati
Performer
Hamad Said Mbaraka
Performer
Rajabu Ally Rajabu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DJ Kassu
Arranger
H-D
Composer
Kassumpa Adrian Machati
Songwriter
Hamad Said Mbaraka
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DJ Kassu
Producer
Lyrics
Kassu
Mwanamke Jembe kila upande apewe thamani
Na sio mambo ya zamani akae nyumbani au kulima shambani
Mwanamke imara mwanamke simama wewe ni superwoman
Mwanamke mwanga, mwanamke mama na mbeba ramani
Mwanamke usikate tamaa (simama)
Unaweza kuwa rubani nayo ndege ikapaa (ng'ang'ana)
Mwanamke sio tena kukaa unaweza kuwa konda wa daladala
We ni Superwoman!
Unaweza tembea kwenye ramani unaweza
Unaweza tembea kwenye ramani yako unaweza
Chapakazi kimbizana na muda
Na jitume ili upate faida
Usisahau na kuweka akiba
We ni nguzo ya familia
Chapakazi kimbizana na muda
Na ujitume ili upate faida
Usisahau na kuweka akiba
We ni nguzo ya familia
Mwanamke ni Jembe
Akipewa nafasi anaweza
Mwanamke ni Jembe
Sasa hakuna kazi asoiweza
Mwanamke ni Jembe
Tumpeni nafasi anaweza
Mwanamke ni Jembe
Tumpeni support nchi kuijenga
Tunakufungulia dunia, kipepeo ruka angaza
Mwanamke mama wa dunia, hakika wewe ni shujaa
Pamoja na magumu unayopitia yasikufanye ukate tamaa
Pamoja na magumu unayopitia hakika wewe ni shujaa
Amua ramani yako iwe mfano kwa wengine
Amua mafanikio yako yawe ramani kwa wengine
Chapakazi kimbizana na muda
Na jitume ili upate faida
Usisahau na kuweka akiba
We ni nguzo ya familia
Chapakazi kimbizana na muda
Na ujitume ili upate faida
Usisahau na kuweka akiba
We ni nguzo ya familia
Mwanamke ni Jembe
Akipewa nafasi anaweza
Mwanamke ni Jembe
Sasa hakuna kazi asoiweza
Mwanamke ni Jembe
Tumpeni nafasi anaweza
Mwanamke ni Jembe
Tumpeni support nchi kuijenga
Kassu
Lyrics powered by www.musixmatch.com