Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ramsoh Latinho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ramsoh Latinho
Songwriter
Lyrics
Yeeeh
Nahisi ndoto zinanijia
Kwahii habari niliosikia
Imegusa hisia zangu
Imeumiza moyo wangu
Machozi yanabubujika
Angani kumetanda gizaa
Nuru imevurugikaa
Nenda Salama babaaa
Magufuli babaa
Nenda Salama, Nenda Salama babaaa x2
Written by: Ramsoh Latinho