album cover
Acha Ushamba
137
Dance
Acha Ushamba was released on November 20, 2023 by Mavoice as a part of the album Acha Ushamba - Single
album cover
Release DateNovember 20, 2023
LabelMavoice
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM146

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mavoicetz
Mavoicetz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul issa
Abdul issa
Songwriter

Lyrics

Utangulizi
Acha Ushaaamba weee
Acha ushaaamba weee×4
             Ubeti wa kwanza
Skuizi kudanga Ndo Habari ya Mjiji Kama huwez kudanga Mjini Unangoja nini Acha ushamba weee.
Tinga kipedo ulamba.Toboa kipini kama huwez kudanga mjini unangoja nini acha Ushamba wee.Wenzako wanadanga na wenye magari ooo wanajichana wanakula vidaliooo.
               Huk namba 1
Fatuma kadanga kapewa Iphone.
wenzako wanang\'ara we unangoja nini wewe.
Unanuka kikwapa chupi unafunga na pini.
Huo Ugaigai Mama Mpaka lini weweee.
Kutwa na kiswaswadu Kutafuta Network.
Hali yako mbaya hata Vocha Huweki.
Miguu kama Ngadu kijora Cha sesi.
Najua la dar lina kupa stresi.
             Kiitikio
Nenda kadange Upate Mihela acha ushamba weee.
Nenda kachune mabuziooo.(Acha Ushamba wee)
Usikae kama mbuziooo.(Acha ushamba wee)×2
                Huk 2
Danga likigoma naliendea kwa mgaanga.
Danga likigoma naliendea kwa mganga.
We danga upate kijo kijo kijora ×4
Danga upate kide kide kidela 4
             Ubeti wa pili
Punguza kununa wenzako wakipendeza weee.
We siupo upo Utaki kujiongeza weeee.
Ata mkorogo wa kijiko shoga Umekushinda.
Bado kidogo huu mji utakushinda.
             Huk namba 3
Fatuma kadanga kapewa Iphone.
wenzako wanang\'ara we unangoja nini wewe.
Unanuka kikwapa chupi unafunga na pini.
Huo Ugaigai Mama Mpaka lini weweee.
Kutwa na kiswaswadu Kutafuta Network.
Hali yako mbaya hata Vocha Huweki.
Miguu kama Ngadu kijora Cha sesi.
Najua la dar lina kupa stresi.
             Kiitikio
Nenda kadange Upate Mihela acha ushamba weee.
Nenda kachune mabuziooo.(Acha Ushamba wee)
Usikae kama mbuziooo.(Acha ushamba wee)×2
Written by: Abdul issa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...