Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
G Nako
G Nako
Performer
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
George Sixtus Mdemu
George Sixtus Mdemu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Intro]
Mmm (Yeah, yeah) Wa-rah!
[PreChorus]
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) We zombie!
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) Haujui?
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) We zombie!
(Leo lion, simba na-) Na simba la masimba, Dangote
[Chorus]
Omalicha, omalicha!
Ah, ki-wowowo feki unatingisha
Unaona sifa, tu misifa
We endelea kuzigida, utazilipa!
[Refrain]
We jifanye born hapa (Mzaliwa)
Na chako tukikitaka (Kinaliwa)
Mwana nguru bin papa (Maziwa)
Chapa fululu mi matter (Unalia)
[PreChorus]
Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Mlioachwa (Poleni)
Mnaodai (Poleni)
Msio na baby (Poleni)
Mkakojoe (Kalaleni)
[Chorus]
Komando, komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
[Bridge]
Ka big G, yaani utamu ka big G (Eeh)
Ka big G, yaani utamu ka big G (Eeh)
Ka big G (Komando sisi komando) yaani utamu ka big G (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
Ka big G (Komando, komando) yaani utamu ka big G (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (Eeh)
Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (Eeh)
[PreChorus]
Abah tiee (Abah tiee), abah wenah (Abah wenah)
Oh, my queen (Oh, my queen), nipe tena (Nipe tena)
Hapa chini (Hapa chini), shuka tena (Shuka tena)
We una nini? (We una nini?), unahema (Unahema)
Mchepuko leo nae kasalitiwa (Waah)
Mke wa mtu sumu kuna maziwa (Waah)
Kuna maziwa na kutaitiwa (Tiwa Savage)
[Chorus]
Umealikwa, hujaalikwa
We njoo na mpunga patakalika
Mashimo yote kanapita
Kwenye milima na mabonde panapitika
[PreChorus]
Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Mlioachwa (Poleni)
Mnaodai (Poleni)
Msio na baby (Poleni)
Mkakojoe (Kalaleni)
[Chorus]
Komando, komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
Komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
[Outro]
Ka big G, yani utamu ka big G (Eh)
Ka big G, yani utamu ka big G (Eh)
Ka big G (Komando sisi komando) yani utamu ka big G (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
Ka big G (Komando, komando) yani utamu ka big G (Waambie sisi ndio vipensi, komando)
Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (Eeh)
Written by: Diamond Platnumz, George Sixtus Mdemu
instagramSharePathic_arrow_out