Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Theo Jeezey
Theo Jeezey
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Theo Jeezey
Theo Jeezey
Songwriter

Lyrics

BABY
When I see you
hey hey
me na hisi fresh aa
I belongs to you
hey hey
nita mwaga cash aa
ni lini uta rudi tupate ku enjoy
uoge maji ya karafuu
mpaka asubuhi
tena
usingizini nawe salama
tena
jehuri sina hizo alama hey
nikabizi moyo wako my baby hey
ni one tabasamu lako
mon bébé iyee
Chorus:
Basi linda penzi langu
baby
we ndo kila kitu changu
baby
ficha asali yangu
baby
wasi chezee wenzangu aa
huuummm hum
ayaya hey ayaya hey
Yale mazoea ndo yana fanya ni kose furaha
humm
ni liona ngekewa mi kutukiwa na wewe hum
mapenzi yako
na hii ni wazi una juwa
nisipo ku ona sina raha
nahisi kuna nvuwa hata kama juwa kali
uki rejea mi kita kupokea
shahada ya juu nita kutunukia
me ndo bogo usije niacha uwa ayaya hey
uki rejea mi kita kupokea
shahada ya juu nita kutunukia
me ndo bogo usije niacha uwa
tozali bamoko
nikabizi moyo wako
my baby hey
ni one tabasamu lako
mon bébé iyee
Chorus:
Basi linda penzi langu
baby
we ndo kila kitu changu
baby
ficha asali yangu
baby
wasi chezee wenzangu aa
Written by: Theo Jeezey
instagramSharePathic_arrow_out