Lyrics
Intro
Uhuuu eeh ehe eeh ehe aaah iea
Verse 1
Niliko toka usishindane nako maana bila ubishi
Haupati ridhiki kisa wanga tuna kesha macho wezi hawashikiki uliza police
Wakina doncare tumezika sana
hakuna vita ila tunapambana
Baada ya kugombana natuna heshimiana oooh hii ndio TANZANIA bwana
Tunakula kipolo cha juzi hata kama tukikosa mboga
Na tukikosa keki my friend sikufichi ah tunakata boga
Bridge
Life inavo chapa na stress unaweza jikuta unalewa soda
Wakina mandonga wapo wengi mtaani hawana ajira wanakaba roba
Ehee ah
Natoka +255 huku baba alifariki tumebaki na mama tu
Mungu wetu ulie juu mama akiteleza mshike mkono apande juu
Chorus
Tanzania my country
I love you from my heart
I love you from my hear
Verse 2
Huku kwetu mazoezi yanakuaga mech dingi anakuachia urithi kumbe ana mikopo bank
Dayle tunakimbizana ka machinga wa Kariakoo sikutukila vizuri ni andazi na juice ya moe
Mishkaki tunaiskiaga kwenye redio hapa pagu Alisha semaga hadi marioo
Tuna kaza roho tunaishi kwa principal tunauza Figo ila watoto waende choo
Bridge
Life inavo chapa na stress unaweza jikuta unalewa soda
Wakina mandonga wapo wengi mtaani hawana ajira wanakaba roba
Eehee
Natoka +255 huku baba alifariki tumebaki na mama tu Mungu wetu ulie juu mama akiteleza mshike mkono apande juu
Chorus
Tanzania my country
I love you from my heart
I love you from my hear
Written by: Mtafya Mwampamba