Top Songs By Mbogi Genje
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
mbogi genje
Performer
Khaligraph Jones
Performer
COMPOSITION & LYRICS
mbogi genje
Songwriter
Lyrics
Man ah Guz huskii setoka, niko rada, bling ni ya kilo na si ati nyama
Ndonyo bado ni mayut wanakaba, hizi rima jina Guzu watataja
MG zing jina ndio bwaku, ukilaku mavushying nakulaku
Ukikatiwa kombato na mandunya, ukinilinki niko rima inadi deep sea (Umojing)
Niko chupri na kwa mbosho nina ndichwez (Kachwez), odi mind siwezi tii wanitinge
Tukizidingi kotiko nikupinge (Pinge), rampage na kuzidi kuwadalo
Hata mao na-deliver to the people (The people), na mashang' kuzinyafu kunyambisha
Ukikam na underation, kubwagishwa, nina mbegega nategea nililishe, magambuti ni lazima niwafinye
Si ndio kusema shang' inatema, kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena, utaliet ukikanashi wa, yo
Si ndio kusema shang' inatema, kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena, utaliet ukikanashi wa
Kaa riang' ni siaka mi nitaku-brush siwezi gwai isaa walosh, hadi mkuje mtu das
Nimenjaku vodo mbwegze, wamenjaku vodo jas, wanabuya kakinuka wanainzagi za backs
Digi dwanzi rezi kujijaza gas na vile kindie kuna shang' nime-stash
Ukidigi vodoo bwe' hakuna zeng ni magwaash, wanafurisha magwado usongi wakinywa ku-have
Utabaki nikirao na ki-chrome, huko rima nyonyo wako amepitiwa za kichuom
Huna riang' umeidra man ni ka huko some, juu ya gwethe zabe nakupata ukiuza bomb
Wanatupimia za ki-VAR na walitubeba ndogo tukiwanga char
Mi hutambua me realest, akina Michar (Michar), na kifaa, nilichambua zanabe ya kiwar
Riambez wako idhaa inengi ni shuksha (Shuksha), kum-swipe tukimonchokanga bukla
Kabla nijichape lazima kondiekcha (Kondiekcha), Portmore namezea kila ndiecha
Unabanja sana ukinywa kuchweng'a (Kuchweng'a), kimirista hamwezi bishana na kweng'a
Mtadoz mbogi nzima mtarenga, mkijaribu kukanashi warena
Unabanja sana ukinywa kuchweng'a (Kuchweng'a), kimirista hamwezi bishana na kweng'a
Mtadoz mbogi nzima mtarenga (Mtarenga), mkijaribu kukanashi warena
Si ndio kusema shang' inatema, kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena, utaliet ukikanashi wa, yo
Si ndio kusema shang' inatema, kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena, utaliet ukikanashi wa
Ghetto praise, mi sitekeswagi rogam, kunipree we jidalo mara wutat
Kujinauwo sikunauwo we ni who dat (Who dat?), banja baga ni madua muok otolo
Inna milien kuwakweng' chaji seh kama che tukisheng, kwa hii ground si ma-king
Hatu-zip kuwa-sweep tuki-sip Hennessy, naughty dread si mabingi wako kinky
Frenemy nawa-born ka warena (Warena), si wazing' hatugwai hizi mapikni
Huku njei wanang'am ni wareng' wananjaku ngumi mbwegze, ka si vyoi, tu-foot on hadi laksi
Wana furaha shagla zetu zikijipa (Zikijipa), mangwander si hu-boss zihuwarianyu
Za wathii, siwezi fika kwa wakadu, kuna shang' nategea toka Dansu
Utariau makidi za Isradu, nikirombotha chini kovu digi doki
Kwa bonje, siku zao ziko shomwi (Shomwi), ni mila mi mgenje uliza Toppy (Uliza Toppy), MG kila kitu wana-copy
Wikendi, kurombos na ma-okli (Okli), roho zao ufucha zinadai mopping, leta ufala utaparara na masoki
Utaliet ukikanashi warena (Ok), wana-hate hio ndio kamati ya Kenya
Inakonge, usione nathobotha reason vitu zimekalas hizo pharmacy za tena
Omollo, Mwangi, niko thamaki na tema (Yes), niko juu ya ngwete, sembe, samaki, omena
Nimezoza sling, chini mambati warena (Woo!), na nimeji-pin niko na ka 30 kwa chamber
Macho drowsy ka wachinku wa Ben 10 (Ben 10), mangwariti kwa mbosho ni ka za 10K
Niko maweng mi ni zing niite Sensei (Sensei), Peng' akidai uber ita senke
Addi teacher toka Gaza matopeni (Matopeni), na hawa ma-**** wanajijaza, wachocheni
Na ka ma-diva mnabanja jo komeni (Woo!), utaririma nitawalaza we ngojeni
Ukinitusi sitabonda just another diss, bloodclaat si huwachoma kama cannabis
Kaa na this, uone venye mi nitakukang'a beef bitch boy, siku gani utasare uwaganis?
Kaa huna form hii Nairobi bosi hama, old school mbogi huniita Bossy Bossiana
Hobby naughty, kuchota mangoko thotiana, kuwarudis choki ni ka nimegoroki ndio kwa maana
Mtaa mbogi huniabudu ka tajiri fulan, na mi hucheza game bubu ka Sirikal
Na tunaleta vurugu, si siri man smady OG, Guzu na militan
Si ndio kusema, shang' inatema, kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena, utaliet ukikanashi wa, yo
Si ndio kusema, shang' inatema, kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena, utaliet ukikanashi wa
Written by: mbogi genje