Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nikki Mbishi
Nikki Mbishi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nikki Mbishi
Nikki Mbishi
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Kama leo nam-call kwa date ya usiku wa kesho
Before the night falls tuifanye iwe siku special
Usiku ukapita kwa vita zidi ya usingizi
Na ndoto zisizokwisha natishwa na jinamizi
[Verse 2]
Masaa yakasogea nikiwaza jinsi ya kutoka
Peke yangu ghetto naongea na suti na pair za moka
Na-dress nafunga mlango natoka anaingia paka
The place already no silence no one dog was barking
[Verse 3]
Mwana nawasha ndinga saa 7 za pm
Nagundua sina akiba nacheki na ATM
Na-draw za kutosha naliona duka nashuka
Naongeza vocha napiga ananijibu "bado nasuka"
[Verse 4]
Namwambia ukimaliza nishtue mi niko njiani
Pia wakati nakuja unataka zawadi gani
Akasema "yoyote uipendayo njoo nayo mi ntaipokea
Usiendeshe gari kwa speed see you baby take care"
[Verse 5]
Siku ikazidi fana kimwana alinidhibiti
Nikafanya shopping ya maana ile laana Mlimani City
Kama twiga au bata figure matata mithiri ya Grace
Anapiga anakata mbwiga nlidata na baby face
[Verse 6]
Nje hakusadikika they call me wretched this way
Wasaa ulipofika malaika aka-display
Kissing na hug za nguvu like "hey baby I miss you"
Mkasa uko verse ya pili nisikiize nikupe ishu
[Chorus]
Sijawahi kupenda na wala sijui mapenzi
Na siwezi ku enzi love cause (I'm a playboy)
Usije ukanipenda ntakuumiza ntakutenda
Sipendeki ntakupa tabu cause (I'm a playboy)
Sijawahi kupenda na wala sijui mapenzi
Na siwezi ku enzi love cause (I'm a playboy)
Usije ukanipenda ntakuumiza ntakutenda
Sipendeki ntakupa tabu cause (I'm a playboy)
[Verse 7]
On table akavuta kiti akapozi muhudumu akaja
Nkaagiza chupa ya Barcadi na mbuzi kwa nusu paja
Kazi na dawa pombe na nyama
Utani na stori anacheka utadhani Fetty
[Verse 8]
Na of course she's pretty shori
Mvinyo ukapanda kichwa sista duu akaanza visa
Nikahisi nikipotezea ataniona nyoka wa kibisa
Mashauzi ananiletea na blauzi mbele imedisa
[Verse 9]
Ikabidi nikakodi uwanja ili nyavu niweze tikisa
Mrembo hakuleta utata swadakta akazama ndani
Alipovua si ndo nkadata nkapata ladha duniani
Shughuli pevu brother kaka nkajihisi niko nje ya sayari
[Verse 10]
Nikampiga chata na memory ndani ya diary
Akatoka na staa shobo zikaponza mwili
Wakati playboy silali na demu mmoja mara mbili
Siku tulipoachana ndo mwisho wa kuongea nae
[Verse 11]
Akipiga nakata nikipokea piga baadae
Ikabidi anitimbie maskani Lunduno kunilulizia
Akaambiwa yuko nyumbani na shemeji ametulia
Akajiona hana thamani nguvu zikamuishia
[Verse 12]
Kwasababu nshamtumia kimsingi ameshafulia
Akaja kwa dhumuni la kutaka kufumania
Nikamtolea mbavuni machozi akaanza kulia
Akitaka penzi la muhuni ambae sijatulia
Mwenzake akaja ubavuni kimahaba akanikumbatia
[Chorus]
Usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
Ntakugeuza Big G cause (I'm a playboy)
Redio TV Ishi ABC kuna HIV cause (I'm a playboy)
Usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
Ntakugeuza Big G cause (I'm a playboy)
Redio TV Idhi ABC kuna HIV cause (I'm a playboy)
Usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
Ntakugeuza Big G cause (I'm a playboy)
Redio TV Ishi ABC kuna HIV cause (I'm a playboy)
Usipagawe na usanii mi sio kioo cha jamii
Ntakugeuza Big G cause (I'm a playboyO)
Redio TV Ishi ABC kuna HIV cause (I'm a playboy)
Written by: Nikki Mbishi
instagramSharePathic_arrow_out