Music Video

Janice Iche x NKC - Shikamoo (Official Audio)
Watch Janice Iche x NKC - Shikamoo (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Janice Iche
Janice Iche
Performer
NKC
NKC
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Janice Iche
Janice Iche
Songwriter
Jake Colvin
Jake Colvin
Songwriter

Lyrics

Eeh? Abee?
Ah! Ah ah ah ah! Ngoja uniskize kwanza!
Haya, wasalimie basi
(Shikamoo bibi, shikamoo babu)
Haya, nenda ukacheze huko
Jichunge mwanangu
Heri kuniuliza kuliko kunichunguza
Mtaka cha mvunguni sharti ainame
Asiyekuwepo na lake halipo
Dalili ya mvua ni mawingu
Eeh? Abee?
Ah! Ah ah ah ah! Mbona unalia sasa?
Damu nzito kuliko maji
Dawa ya moto ni moto
Lipitalo hupishwa
Maji hufwata mkondo
Ahahahaha
Nimeshukuru sana mama
Mbakini salama
Written by: Jake Colvin, Janice Iche
instagramSharePathic_arrow_out