Music Video

Arrow Bwoy - Shikisha [Official Video]
Watch Arrow Bwoy - Shikisha [Official Video] on YouTube

Featured In

Lyrics

Eh baby cheza, kill him with the love, baby kill him with the loove
Dollar kwa meza, signal, nipe signal
Baby cheza, kill him with the love, baby kill him with the loove
Dollar kwa meza, signal, nipe signal
Napenda unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa)
Unafanya napandwa na kichaa (Sawa), eeyy na kichaa
Unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa)
Unafanya napandwa na kichaa (Sawa), mmhhmmhh na kichaaa
Wacheze kamare, baby usiseme no pitishie waya ya stima chini ya maji walambe umeme (Umeme)
Ukifika kejani, chuna majani, changu ni chako usiogope darling, you are my honey
Cheza kambumbu wapige kinanda, waachie misemo ya khanga
Shika kachupa nishike kaganja, baibie tukule nyama karanga
Baby cheza, kill him with the love, baby kill him with the loove
Dollar kwa meza, signal, nipe signal
Napenda unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa)
Unafanya napandwa na kichaa (Sawa), eeyy na kichaa
Unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa)
Unafanya napandwa na kichaa (Sawa), mmhhmmhh na kichaa
Cheza, cheza
I've been waiting for this for a very long time baby
Jua ikawaka kukanyesha na kukakauka tena baby
So let me take you to banana island, let me show you what you've been missing
I'll pamper you with designer when you do like this and you do like that (Eeh)
I'll take you to banana island, let me show you what you've been missing
I'll pamper you with designer when, you do like this and you do like that
Baby cheza, kill him with the love, baby kill him with the loove
Dollar kwa meza, signal, nipe signal
Baby cheza, kill him with the love, baby kill him with the loove
Dollar kwa meza, signal, nipe signal
Napenda unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa)
Unafanya napandwa na kichaa (Sawa), eeyy na kichaa
Unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa)
Unafanya napandwa na kichaa (Sawa), mmhhhmmhh na kichaa
Unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa), unafanya napandwa na kichaa (Sawa)
Baby ii, unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa), unafanya napandwa na kichaa baby (Sawa)
Unavyo shiki shikisha (Sawa), moto umeuwakisha (Sawa), unafanya napandwa na kichaa baby (Sawa), shiki-shikisha
Written by: Arrow Bwoy
instagramSharePathic_arrow_out