Top Songs By Nviiri The Storyteller
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nviiri The Storyteller
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nviiri The Storyteller
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Nviiri The Storyteller
Producer
Lyrics
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, hii kesi tutajibu baadae
You see our love is so perfect, I can’t deny
But your father wants me in a casket, I think he’s not playing
Does he know the way sneak at night when he goes to sleep
Drink and drive ohh we take the risk
Hatuigopi ata mapolisi
But I’d never leave you alone, best believe my baby
Siwezi kukuwacha pekee yako
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, hii kesi tutajibu baadae
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, hii kesi tutajibu baadae
Hii kesi tutajibu baada ehh, hii kesi tutajibu baada ehh

Cheki dere wetu amebleki, hatuwezi enda home
Ju sisi wote tumeishiwa na senti
But your friends that are gone just let them be
We’ll stare at the stars and make a wish
Prove to the world that we ment to be
We should be heading home, beiby twende
But that is our song kuja tucheze
Sijampata mpenzi kama wee
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, hii kesi tutajibu baadae
Wazazi wameshika nare, eti penzi letu tuisare
Lakini beiby usijali, hii kesi tutajibu baadae
Hii kesi tutajibu baada ehh, hii kesi tutajibu baada ehh
Hii kesi tutajibu baada ehh, hii kesi tutajibu baada ehh
Written by: Nviiri The Storyteller