Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Joh Makini
Vocals
Jux
Performer
Kool Savas
Performer
Lyrics
Nisipokula nawe huu mkwanja, sa ntakula na nani sinaga huo ujanja kwako
Mijengo sio tena kibanda, awali side chicks walishasanda kwako
Kula ndizi bila maganda muhanga mi nishajitoa kitambo si kazi kwako
Kwa Mungu na sikwa mganga, njo tupige goti baraka zimetanda hapo
Nisipokupenda wewe ntampenda nani mmh, leo kazi sina nina kazi nyumbani eeh eeh eeh
Nitapika ule wangu mwandani mmh, mmh, na ndoto yangu uyatoe ya ndani mama ooh aah
Twende jambiani au twende Serengeti mbugani (Ooh baby), kushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah
Twende jambiani au twende Serengeti mbugani (Ooh baby), kushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah
Tell me something, tell me something
Tell me something, tell me something baiby
Naacha mambo yote mana najisikia mfalme mjini, unanipa vitu vingi ata sijui nikupe nini
Tuna mali tuna Mungu na pia tunania, tunaishi ndoto zetu wakitushuhudia
Na unanifaa moyoni umenikaa kama nini? Pale najikwaa maa huniachi niende chini ooh aah
Twende jambiani au twende Serengeti mbugani (Ooh baby), kushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah
Twende jambiani au twende Serengeti mbugani (Ooh baby), kushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah
Niambie kitu, niambie kiu, nambie kitu (Tell me something)
Niambie kitu, niambie kiu, nambie kitu (Tell me something)
Niambie kitu, niambie kiu, nambie kitu (Tell me something beibe)
Twende (Twende)
Twende (Twende)
Twende (Twende)
Twende (Twende)
Written by: Jux, Old Paper, S2Kizzy