album cover
Alaa!
236
Music
Alaa! was released on May 21, 2021 by Zeer Mzika (Mbokotho) - Dapstrem Entertainment as a part of the album Alaa! - Single
album cover
Release DateMay 21, 2021
LabelZeer Mzika (Mbokotho) - Dapstrem Entertainment
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbokotho
Mbokotho
Performer
Mbuzi Gang
Mbuzi Gang
Performer
Harry Craze
Harry Craze
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mbokotho
Mbokotho
Songwriter

Lyrics

Riga shagala riba
Huwa unanipana na sijakuagiza
Gurumisha askie unaikimbiza
Hii ni movie nakupa siyo teaser
Huyu dem ako na mhh mhh alaa
Na anadai nikapee mhh mhh alaa
Na siwezi mnyima mhh mhh alaa
Juu ana mhh mhh na nina mhh mhh alaa
Sema dem wa Rongai
Tulimeet kwa msee wa mayai
Alikuwa anajidai
Kumbe anapendaga rungu kama moi
Alikuwa amebebe lakini sura
Usiku sacco sako kwa bako
Mikono kwa mako
Sitambui jasho
Rush hour marash after shower
Juu ni mluhya nikamsetia kahawa
Akabambika akagawa
Akitoka ndio akauliza unaitwa nani
Riga shagala riba
Huwa unanipana na sijakuagiza
Gurumisha askie unaikimbiza
Hii ni movie nakupa siyo teaser
Huyu dem ako na mhh mhh alaa
Na anadai nikapee mhh mhh alaa
Na siwezi mnyima mhh mhh alaa
Juu ana mhh mhh na nina mhh mhh alaa
Call ka si baby sibebi
Me hutreat kila day ka wikendi
Si funeral but shawrty sai ni mourner
Kwenye jua kali nina genge kila corner
Alaa me sidai ufala
Bila kipara nang'aa
Me ni papa si dagaa
Mbuzi kijana kichaa
Me nina mboko teacher
Peng ka nim fine si wa mine basi ficha
Baby shark dudu dudu
Papa shark me nadai kula mutu
Hakuna ngori hapa kejani ni nduru tu
Manduru tu siri ni njugu tu
Riga shagala riba
Huwa unanipana na sijakuagiza
Gurumisha askie unaikimbiza
Hii ni movie nakupa siyo teaser
Huyu dem ako na mhh mhh alaa
Na anadai nikapee mhh mhh alaa
Na siwezi mnyima mhh mhh alaa
Juu ana mhh mhh na nina mhh mhh alaa
Oyaa cheki, niko na Kariba
Very interesting ni kama tounge twister
Mh alaa ati jana ulizima
Ei ulibleki ukaharibu jina
Cheki dem anadai nimfine alaa
Anataka nimtreat kila time alaa
Na tabia zake bana hazidai alaa
Hiyo si justice hiyo ni crime atii
Ndani ya ngori me sipatikani
Usiulize ati mimi niko hali gani
Alaa usijali niko mahali Fulani
Na mhhh buda usiforce kuworry
Riga shagala riba
Huwa unanipana na sijakuagiza
Gurumisha askie unaikimbiza
Hii ni movie nakupa siyo teaser
Huyu dem ako na mhh mhh alaa
Na anadai nikapee mhh mhh alaa
Na siwezi mnyima mhh mhh alaa
Juu ana mhh mhh na nina mhh mhh alaa
Written by: Mbokotho
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...