Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Beth Njoki
Beth Njoki
Songwriter

Lyrics

Fata mwendo wa jua
Kunapokucha
Kunapokucha
Fata mwendo wa jua
Kunapokucha
Na kutakucha
Eeh
Fata mwezi kwa giza
Tarajia, tarajia
Fata mwezi kwa giza
Tarajia, tarajia
Mawio
Eeh
Mawio
Eeh
Usife moyo baba
Kumekucha, tazama kumekucha
Usife moyo ndugu
Kumekucha, tazama, tazama
Usife moyo baba
Kumekucha, tazama kumekucha
Usife moyo ndugu
Kumekucha, tazama, tazama
Mawio
Written by: Beth Njoki
instagramSharePathic_arrow_out