Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Idd Aziz
Lead Vocals
William Dorey
Lead Vocals
Malcolm Catto
Drums
Abass Dodoo
Percussion
Isaac Tagoe
Percussion
Nii Boye Owoo
Percussion
Sly Tagoe
Percussion
COMPOSITION & LYRICS
Idd Aziz
Songwriter
William Dorey
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
William Dorey
Producer
Lyrics
[Chorus]
Eh Sudani, Sudan, oh Sudan
Eh Sudani, Sudan, oh Sudan
Eh Sudani, Sudan, oh Sudan
Eh Sudani, Sudan, oh Sudan
[Verse 1]
Kweli Sudan umekosea nini
Wewe ndugu na yule ni dadako
Rangi ni moja na damu ni moja
Vita ni vya nini na yule jirani
[Verse 2]
Mbona nyinyi nyote mwakoseana
Chuki ya nini na huyu mwenzako
Uache vita kweli is noti good
Wallahi nyie mnatesana
[Chorus]
Oh Sudan, Sudani, Sudan
Wacha vita mama
Eh Sudani Sudan tulia tulia
[Verse 3]
Usidanganywe na hawa ma Babylon
Ukaanza kumaliza we wenzako
Utajuta vile we utabaki alone
Utalia machozi ya mulala hoi
[Verse 4]
Shikaneni mikono
Muwe nyote pamoja
Wallahi wacha vita mama
Tushikane mikono tuwe pamoja
[Chorus]
Oh Sudan, oh Sudani, Sudan
Wacha vita mama
Sudani, Sudan tulia, tulia
Written by: Idd Aziz, William Dorey