Listen to Nyoka Ya Shaba (feat. Kamene Goro, Andrew Kibe, Exray, Timmy Tdat, Jua Cali, Harry Craze, Kristoff & magix enga) by Xtian Dela

Nyoka Ya Shaba (feat. Kamene Goro, Andrew Kibe, Exray, Timmy Tdat, Jua Cali, Harry Craze, Kristoff & magix enga)

Xtian Dela

Hip-Hop/Rap

11,894

Music Video

NYOKA YA SHABA OFFICIAL MUSIC VIDEO - Andrew Kibe, Kamene, Magix Enga, Timmy Tdat, Exray, Jua Cali
Watch NYOKA YA SHABA OFFICIAL MUSIC VIDEO - Andrew Kibe, Kamene, Magix Enga, Timmy Tdat, Exray, Jua Cali on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Xtian Dela
Xtian Dela
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Xtian Dela
Xtian Dela
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
magix enga
magix enga
Producer

Lyrics

Kibe:
Hey wassup! wassup, M*therf*ck*rs!
Let me talk to you one time!
I’m about to take your chile
And bomoa her all the way up in the Diabz!
So, Magix!..Magix!! Stop this shit!
Magix Enga on the Beat!
Ni ule Mluhya wa Bu! Bu!
Mmmm! Aaaai…Taniua..Aah!
T! T! T!
Exray:
Nasikipei nyama ,
Nakikidai nyama
Kwanza Kaza kunyi apa utainama
Nasaka tei na ma
Sikatai mama
Leo kamari mchezo wa rungu apa utainama
Gooma! Nakukembea kwa kiti
Choma kainawasha kibiriti
Shona! Kaa Ni fimbo ama miti
Bonya kanikubwa naikuliki
Kamene: Ni chungu!
Exray: Shhhhh!..Niko Madawa!
Kamene: Shhhhh!…Nami nataka!
Exray: Shhhhh!…Shodhora sasa!
Kamene: Shhhhh!…Nyoka ya shaba!
Timmy Tdat:
Ka debate ni lazima nai mada
Marathon ni lazima ata ngada
Seremala so naipiga randa
Si imenikaza naikula kwa veranda.
Nipe head ndio nijue umemake mind
Funga mlango sikamu on time
Number saba figure eight kula nine
Leo ni lazima utakam mara nine.
Jua Cali:
Chunga nyoka sana inatisha
Kucha inawacha stripes 3 adidas
Hakuna dawa hakuna kupona
Tuko juu ya kitanda hakuna kusonga
Shikilia hapo vile mzee anataka
Sauti naskia tu ni ya paka
Piga kelele jirani waskie
Nyoka ni ya shaba ebu iinyambie
Magix Enga:
Cheki mimi ni pedi
Wamapedi
Napenda minji
Mahaga Bigi
Kitu napiga kuni kuni hadi kutwa “kesho”
Sema fuck boy “fuck boy!”
Kucheza chini
Nahuku chini nimebeba kitu bigi
Wanaogopa mi ni kafiri
Nishai thombotha wangoi akachezi
Kristoff:
Niko kwa sauna, na nimewasha loud
Tuko zile area nyi hamuezi ku kua allowed
Tuko tireh na ma ngeus,wana ma rasa round
Vip,zile area hazinanga ma crowd
Mi si TID, bado Niko around
Ego kubwa sana utathani ni matharau
Niko uku ruaka na nararua mariah
Shika doe, pita na fence ruka Mawire
Mmmm, niaje kamene
Come nikukiss hii si kameme
Come na kina kibe, si na kirende, uh uh
Usilete kirende…
Harry Craze:
Napiga shash adi akili inatoboka
Nikipiga mashot mi naskia kukunyonya
Na sitamind uyu monkey ukinyonga
Nikushike mathigh manze manzi una bumper..
Ashamwaga na sijashika paja
Ashanigwara na sijafinya paka
Bonge la duba nadai kuikuta
Shada za juja manze zinalipuka
Ni mimi na we iyo haga nakuna
Ni vipi gathee ebu chafua machupaaa
Xtian Dela:
Yo wassup guy!
This is Thee Trendsetter @XtianDela
And this right here is the biggest jam in the 254
Check it out on YouTube, Nyoka ya shaba!
Written by: Xtian Dela
instagramSharePathic_arrow_out