Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ethic
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ethic Entertainment
Songwriter
Lyrics
Ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah, maji maji aah
Zikishuka naona mi sjali-sjali aah, sijali sja
Cheki-cheki ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Unaleta nguna dunda na haujakafunga, mi nakuchunia huyo nguna nafumba nadunga
Akitekwa na kabuda anachezewa rhumba, baadae akule maspamo zimekuwa unga
Umeumbwa umeumbwa, kama goks imefika sai mi huipepeta
Kwa nyumba na dildo nadeveva, ju nimestunya kuliko ile imebebwa
Kata chwa niko maji-maji aah, maji-maji aah
Zikishuka naona mi sjali-sjali aah, sjali sja
Aah cheki-cheki ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Nakatakata dania naseti kwa kinyaru, kachumbari raru ukimanga kina Nyambu
Naenda fisa fisa kipara kama Budha, Thutha nyuma shika ukuta
Tingiza maduba mdogo-mdogo sina pupa, hadi che aluta Mercy, Njeri tu na Nutha
Kukata kutaka kukataa tu kwa bukla-bukla-bukla-bukla
Ukinitaka na nimekata jua niko maji-maji aah, maji-maji aah
Zikishuka naona mi sjali-sjali aah, sjali sja
Cheki-cheki ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Msupa pika nikam kwako, nikule pizza ndondo na mbosho
Mi ndo hukinda jaba kwa mkoko, na hii chuma lazma iland kwako
Mi ni dinda nyang'anya ndondoka, dididinda na nduve kwa ukuta
Na matinda na kiondo ni mogoka, na matinda na kiondo ni mogoka
Ukinitaka na nimekata jua niko maji-maji aah, maji-maji aah
Zikishuka naona mi sjali-sjali aah, sijali sja
Cheki-cheki ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Ukinikata naona mi staki-staki aah, staki-staki aah
Written by: Ethic Entertainment