Music Video

NYOKONYOKO - FEMI ONE x BOONDOCKS GANG x MBITHI x DJ LYTA (SKIZA 7301185 to 811)
Watch NYOKONYOKO - FEMI ONE x BOONDOCKS GANG x MBITHI x DJ LYTA (SKIZA 7301185 to 811) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Femi One
Femi One
Performer
Boondocks Gang
Boondocks Gang
Performer
Mbithi
Mbithi
Performer
DJ LYTA
DJ LYTA
Performer
COMPOSITION & LYRICS
WANJIKU KIMANI
WANJIKU KIMANI
Songwriter

Lyrics

Mmh ero ni sova na rungu ya jamii Apo si unajua nakuchorea mami Akuna aja cancer apa Moshi ni manduku tupu Nazitoka bana za adhudhu Ukinitoka nyoko nyoko Juu hapa ukining'ora ni mamboko Morio ukining'ora nyoko nyoko Juu apa ukining'ora ni mangoto Nyoko nyoko Nyoko nyoko aah Nyoko nyoko Nyoko nyoko mmh Nyoko nyoko Nyoko nyoko gaii Nyoko nyoko Nyoko nyoko wee Wanjiku ametumia Wanja Jicho peptang juu ya kiganja Macookie na makeki za kibanda Na mifuko zimeshonangwa tu na mabanda Exhibits zimejificha Kwa mbosho Moreover after kujiposti ni kudhosho Pata keg juu nilifikanga na vidosho Rombosanga mpaka kesho huku ni kigooco Alafu EXRAY mkiingia nawascan Shika kicollo kipitishe what a gwan Ka hukufunzwa na mathako buda utalearn Mbogi inachachisha komora za sadam Oya oya eeh oya oya aah Upangaji pande si ya bodaboda eeh Niko loko miguu si ya bodaboda aah Si muko loko miguu si ya bodaboda eeh eeh Msupa ukinitoka nyoko nyoko Juu apa ukining'ora ni mamboko Femi One Nyoko nyoko Nyoko nyoko aah Nyoko nyoko Nyoko nyoko mmh Nyoko nyoko Nyoko nyoko gaii Nyoko nyoko Nyoko nyoko wee Ukiseswa kama umetengwa ita king'oi Nikulambe nikuchimbe mmh kama kifui Msupa afunge duka ndio anireplace na toy Juu ya kutu si ameshika mbira Juu ya rungu si atatoka mbio We ndio jiko na unachezea diroo Unamaroll aiihh mi nachezea kilo Juu we ni smarta nitakuchezea kiioo Nina ofisi kuja nikueke CEO Uko fifty mi nakuekea kioo Muongezano, mtongozano Mkutano tucheze bano Mmh Nina ngori kaa Kogalo Msupa ukinitoka nyoko nyoko Femi One Morio ukinitoka nyoko nyoko Juu apa ukining'ora ni mangoto Nyoko nyoko Nyoko nyoko aah Nyoko nyoko Nyoko nyoko mmh Nyoko nyoko Nyoko nyoko gaii Nyoko nyoko Nyoko nyoko wee Gara gara amegaragaz Chora saba wacha mi nidare rasa Sheki legi zetu tukipasa pasa Mbogi ni ya kangundo si ya guli Gaza Super kamba kila aina genge tone Yani kwananga doohh tuta pekedon Dj Lyta nawakata kipe microphoni Na Bado si wanatudare na waingwe thoni Odi jina kubwa kama turi ya Vera Sidika Uko rada mi nadai hela Hii ngoko si free kaa za wale mafathela Na manjoti hadi tee ilikuwa kamagera Pedi wangu huenda mjei mpaka Jericho Hizi ng'ang'o ni za wimbi za uko Mexico na pale Dago Na mi huendea mapetco kando ya Pango Na nilifinyanga Rachael (musical interlude) E-N-D
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out