Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
The Kansoul
The Kansoul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
George Muigai
George Muigai
Songwriter
Major Khadija
Major Khadija
Songwriter
Mukora Kariba
Mukora Kariba
Songwriter

Lyrics

Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Nasema Gong Gong Gong Zina Gongana
Na ma Gong Gong Gong Zina Gongana
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Huyu dem antanibamba aki chuchuma
Kwanza antanibamba akipinduka uh
Na akiinama akichota maji
Leo nyundo itashikana na makabati
Leo ni nyundo na sandipaper (Wawawawa)
Kupaka mate nakuteleza (Wawawawa)
Futi sita leo minagonga (Wawawawa)
Leo usiku dem atawika (Wawawawa)
Njugu uchu leo nakuta mutu
Leo ni Mollis, Ndulu ndulu ndulu
Hiyo haga aki imenipatia taki
Leo nyundo lazima ishikane na kabati
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Nasema Gong Gong Gong Zina Gongana
Na ma Gong Gong Gong Zina Gongana
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Mana on your case
Madi nadi best
Nyap kunguruma kama woofer na ma bass
Mamanzi wasafi
Marashi Versace
Account utadhani nauza mihadarati
Mashow, Madro, Whiskey 18 years old
Kinywaji inafaa kupewa kitambulisho
Oh no no no no
Ko ko ko ko ko
Huyo ni manzi yako knocking knocking at my door
Pole sana bro
Me I'm not a Joke
Waroro nyuma nono zinakaa ma photoshop
Ajajajajaja ebu cheki mapaja
Sina haraka
Minaitwanga kama star
Na ma Gong Gong Gong Zina Gongana
Zema Gong Gong Gong Zina Gongana
Na ma Gong Gong Gong Zina Gongana
Zina Gong Gong Gong Zina Twende
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Ebu Inama inama
Genye zikipanda
Nikichora moja denge unachora saba
Geuka simama
Kanyau nitalamba
Na vile uta wika manze neiba watahama
Nyundo na kabatio mi ni fundi seremala
Kutengeneza viti nakuharibu kitanda
Nakupanda kama gengi utadhani ni makanga
Hii msumari ndani leo italala
Yaani utahema (Haahaa)
Yaani leo utahema (HaaHaa)
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Nasema Gong Gong Gong Zina Gongana
Na ma Gong Gong Gong Zina Gongana
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Misumari, Kabati, Nyundo, Ndani
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Zina Gong Gong Gong Zina Gongana
Written by: George Muigai, Major Khadija, Mukora Kariba
instagramSharePathic_arrow_out