Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nairobi County Choir
Nairobi County Choir
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christine Mugambi
Christine Mugambi
Songwriter

Lyrics

Jina Maria (Ni jina tukufu), lafurahisha (Linatutuliza)
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)

Maria mama wa Mungu tuombee, tuombee kwa mwanao Yesu Kristu, tuombee kwa mwanao Yesu Kristu
Jina Maria (Ni jina tukufu), lafurahisha (Linatutuliza)
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Jina lako siku zote lapendeza, wewe uliye mnara wa Daudi, wewe uliye mnara wa Daudi
Jina Maria (Ni jina tukufu), lafurahisha (Linatutuliza)
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Jina lako siku zote lapendeza, wewe uliye malkia wa Mbinguni, wewe uliye malkia wa Mbinguni
Jina Maria (Ni jina tukufu), lafurahisha (Linatutuliza)
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Twaliimba jina lako siku zote, jina Maria linatufurahisha, jina Maria linatufurahisha
Jina Maria (Ni jina tukufu), lafurahisha (Linatutuliza)
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Wakisema (Ave ave Maria), ni jina tukufu (Jina la Maria)
Written by: Christine Mugambi
instagramSharePathic_arrow_out