Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbilia Bel
Mbilia Bel
Performer
L'Afrisa International
L'Afrisa International
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Pascal Emmanuel Tabu Ley
Pascal Emmanuel Tabu Ley
Composer
Mbilia Marie Claire Mboyo
Mbilia Marie Claire Mboyo
Lyrics

Lyrics

Sikiliza mfano wako papa
Sikiliza mfano wako eh
Sitowe mbele ya watu papa
Sitowe mbele ya watu eh
Sababu gani eh natoa makuta
Sababu gani eh nashinda sipansio papa
Siwezi kuiba papa juu yako eh
Siwezi kuiba papa juu ya sifa yako
Leo hii aya ni yako unikane mimi paka na wewe
Sababu niko na wewe papa ndio nateseleshwa
Kama sikuwa na wewe papa nisinge teseleshwa eh
Wabwana wananitamani mimi sitaki
Tokea tangu zamani ujanipatia kitu
Wabwana wananitamaini mimi sitaki
Tokea tangu zamani ujanipatia kitu
Leo hii aya ni yako unikane mimi paka na wewe
Sababu Niko na wewe papa ndio nateseleshwa
Kama sikuwa na wewe papa nisinge teseleshwa eh
Wabwana wananitamani Mimi sitaki
Tokea tangu zamani ujanipatia kitu
Wabwana wananitamaini Mimi sitaki
Tokea tangu zamani ujanipatia kitu
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweli
Kwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya fedha si yakweli mama, dada sikiliza mama oh
Ulijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana mimi
Unanitesa bure oh mama oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweli
Kwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya pesa si ya kweli mama, dada sikiliza mama oh
Ulijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana Mimi
Unanitesa bure oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweli
Kwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya fedha si yakweli mama, dada sikiliza mama oh
Ulijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana mimi
Unanitesa bure oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweli
Kwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya fedha si yakweli mama, dada sikiliza mama oh
Ulijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana Mimi
Unanitesa bure oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Oh dada mapenzi ya fedha dada ni sifa kweli
Kwa mbele ya wandugu na dada nafamilia yote
Lakini mapenzi ya fedha si yakweli mama, dada sikiliza mama oh
Ulijua dada mimi masikini nakutongoza dada wewe mtajili
Kwa nini dada ukunikana mimi
Unanitesa bure oh mama oh dada oh dada oh dada
Waniumiza roho oh
Written by: Mbilia Marie Claire Mboyo, Pascal Emmanuel Tabu Ley
instagramSharePathic_arrow_out