Letra

Kama ikitokea amani ya moyo imetoweka Ah bora kunizika kuliko kukukosa Na atakama ikitokea tupo kwenye shida Mi nimeridhika siwezi kukutosa Afu nikwambie wewe Umeishika pumzi, pumzi ya mapenzi Na chochote niambie wewe Yani kama chizi, chizi wa mapenzi Na penzi lako pingu ndo nishafunga Moyo umekuchagua nakutaka baby Aah lango ndo nishafunga Moyo umekuchagua nakutaka taka Aaaaah aaaaaah Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia Nimetulia tulia afu nina amani Asa napokua na wee Tulitumia vyajuani tukaishinda mitihan Mimi furaha yangu ndo wewe aah wewe Ndio hao marafiki vijini Wasopenda uwe na mimi watasubiri subiri Walidhani hutokua na mimi ona wanadhalili si tunapeta na jiji Na penzi lako pingu ndo nishafunga Moyo umekuchagua nakutaka baby Aah lango ndo nishafunga Moyo umekuchagua nakutaka taka Aaaaah aaaaaah Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia Nimetuli nimetuli aah sina mbambamba Aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia Ah nimeumaliza mwendo ah mwendo mwendo Platform TZ – Mapepe Mp3 Download
Writer(s): Suleyman Salim Gao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out