Paroles

Kama ni adhabu tu Inatosha nishajifunza Inua macho juu Yafute nisamehe Au ngoja niondeke tu Yakiisha utanijuza Mana kunakoendea Nahisi utaniua Sasa unaenda wapi lakini Au ndo unarudi tena Kule umalayani Hayajapowa ya rohoni Unataka tena Kuyapandisha kichwani Nitakaaje na mtu haongei Wala makosa ye hayatambui Sura yako hainiongopei Acha tu nichape lapa Nikulazimishe kubaki We ni nani embu kwenda huko Mtu mwenyew huna hata kitu ndani Unachotegemea Kitanda kitanda We unategemea Kitanda kitanda Mbona mi sitegemei Kitanda kitanda Sijawahi tegemea Kitanda kitanda Unataka Sema unataka iweje Kama maneno hata ya babu Nishatumia bado unaniona bwege Mi nataka Nijue unanichukuliaje Kunichanganya kwenye gongo Na mi beer hilo unalionaje Tangu asubuhi Nawasikia tu Ugomvi mavurugu Yanarudia tu Mnampa faida nani Usiri wa ndani Wajue mpaka majirani Mbona sisi ni wapangaji Wenzenu tunagombana Ila yanaishia ndani Kimya kimyaaaa!!! Hayakuhusu baba We rudi nenda Ukapambane na yako Umeruka vyumba saba Kama si umbeya ni nini Unawajibu watu vibaya Huna hata haya Unajikuta we ndo kidunchaya Na siku yakikukuta Sipo utamfata nani Mana kila mtu ushamsutaga Nitakaaje na mtu hajitambui Hajui mwema hajui adui Sura yako hainiongopei Acha tu nichape lapa Nikulazimishe kubaki We ni nani embu kwenda huko Mtu mwenyew huna hata kitu ndani Unachotegemea Kitanda kitanda We unategemea Kitanda kitanda Mbona mi sitegemei Kitanda kitanda Sijawahi tegemea Kitandanda kitanda Unataka Sema unataka iweje Kama maneno hata ya babu Nishatumia bado unaniona bwege Mi nataka Nijue unanichukuliaje Kunichanganya kwenye gongo Na mi beer hilo unalionaje Unataka Nambie unataka iweje Kama maneno Hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege Mi nataka nijue unanichukuliaje Kunichanganya kwenye gongo Na mi beer hilo unalionaje
Writer(s): Frank Felix Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out