Lyrics

Haya ni maombi yangu kwako Wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako Basi ikiwa ipo ahadi, ya kuingia rahani mwako Sitaki kukosa na niwapendao Funua neema yako, familia yangu ikujue Funua neema yako mataifa yote yakujue Haya ni maombi yangu kwako Wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako Basi ikiwa ipo ahadi Ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao Haya ni maombi yangu kwako Wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako Basi ikiwa ipo ahadi Ya kuingia rahani mwako sitaki kukosa na niwapendao (Funua eh) Funua neema yako Familia yangu ikujue (Haya ni maombi yetu Bwana) Funua neema yako Mataifa yote yakujue (Haya ni maombi yetu Bwana) Funua neema yako Familia yangu ikujue (Eh Bwana) Funua neema yako (eh Yesu) Mataifa yote yakujue (Funua) Funua neema yako (familia yangu) familia yangu ikujue (Eh Yesu) Funua neema yako (Mataifa yote) mataifa yote yakujue (Funua) Funua neema yako (Mimi na nyumba yangu Bwana) familia yangu ikujue (Mimi na rafiki zangu Yesu tusikie habari yako) Funua neema yako mataifa yote yakujue (Neema yako) Neema yako (Tusipitwe na) Neema yako (Haya ni maombi yetu Bwana tusipitwe na) Neema yako (Tusipitwe na) Neema Yako Yesu, Yesu, kwakuwa iko ahadi ya kuingia rahani mwako Yesu haya ni maombi yangu Mume wangu asipitwe na neema yako Watoto wangu, eh Yesu, eh Yesu Rafiki zangu, wasipitwe na neema yako Wazazi wangu wasipitwe na neema yako Pengine uko hapa umeokoka Na ndugu zako bado hawajaokoka Jamani neema ya Mungu isiipite nyumba yako Tumeandaliwa ahadi ya kuingia rahani mwake Hiyo neema Mungu aliyoachilia kwako Aachilie kwa rafiki zako Aachilie kwa ndugu zako Aachilie kwa watoto wako Yesu tunaomba neema yako iwe kubwa sana Yesu tunaomba neema yako iwe kubwa sana Kwenye uzao wetu Neema yako iwe kubwa sana Neema yako, Yesu neema yako Neema yako ijulikane kwenye utumishi wetu Bwana Pasipo neema yako hatuwezi Hatuwezi, hatuwezi Yesu (oh) Neema yako (Yeah) Tunaomba neema yako Bwana (neema yako) Neema yako Eh Yesu tusipitwe na Neema yako (Oh-ooh) (Neema yako) Neema yako (Neema yako) Neema yako (Eh neema yako) Neema yako (Usipite nyumba yangu Usipite uzao wangu) Neema yako (Usipite ndoa yangu) Eh Yesu, eh Yesu, eh Yesu Najua kuna wengine wamekuja hapa Bwana Na wanateswa na magonjwa ya kifamilia Baba tunaomba neema yako izidi Yesu tunaomba neema yako izidi Baba kuna wengine wanateswa na tabia za kifamilia Yesu tunaomba neema yako izidi Bwana Funua neema yako Funua neema yako Familia yangu ikujue wewe Ikuamini wewe Ikupende wewe Rafiki zangu, wakuamini wewe Watoto wangu Wakujue wewe Nyumba yangu Ikujue wewe Funua neema yako Mataifa yote yakujue (Funua neema yako) Funua neema yako Familia yangu ikujue wewe Funua neema yako mataifa yote yakujue (Neema yako) Neema yako Oooh neema yako, neema yako
Writer(s): Rehema Simfukwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out