Lyrics
Mapenzi Majani Yanaota Popote
So I swear my darling nimeze nipotee
Si unajua nakujali nipate nikose
Nisipokuona silali mpaka nilewe niziiiiimeeeee
Chumvi yenye ladha yake nikukose nilale njaa
Daktari mwenye tiba zake usiniache na majeraaaa
Maraaaashi yenye harufu yake nikukose nipate uvundo
Ndege mwenye rangi yake upotee nikose raha
Tamu kama chocolate Eehe
Laini sema supagetti. Eehe
Hupendi uchokozi eti toto mwenye mwanya kama lesi
Bingo Bango, Bingo Bango
Katoto tamu toto mango
Lingo Lingo Lingo Lingo
Kukuacha ndo siweeeezi
Wacha watuseme vibaya
Mi na wee hatuachani
Kipenzi changu usione haya hii ni true love wala si utani
Kwako ndo makazi yaangu
Kipendacho rooho nishakula nyama mbichi
Kwako ndo makazi yaaangu
Tausi njo chumbani kwichi kwichi
Ata wanifunge minyororo kwako bado nitasema yes I do
Ata wakutukane kiporo
Ladha yako bado naipenda tu.
Tamu kama chocolate Eehe
Laini sema supagetti Eehe
Hupendi uchokozi eti toto mwenye mwanya kama lesi
Bingo Bango, Bingo Bango
Katoto tamu toto mango
Lingo Lingo Lingo Lingo
Mamaaaa kukuacha ndo siweeezi
Writer(s): John Phillip Ouma
Lyrics powered by www.musixmatch.com