Lyrics
MALKIA LYRICS:
CHORUS (MADINI)
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
VERSE 1
Leo nakuvisha pete ya maisha
Leo wewe ni wangu kabisa
Nakupatia jina yangu ya mwisho
Me ni makaa na we ni jiko
Wacha iwake hakuna kuzima
Wacha katambe hakuna kupima
Walisema takuacha wanaota
Wakiamka bado tuko pamoja
Hakuna mtu anapinga hio ndoa
Hakuna siri yako nitatoboa
Ikue ni raha shida me niko
We jua hii ni mpaka mwisho
CHORUS (MADINI)
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
VERSE 2
Ukikasirika nakupenda zaidi
Ukikunja uso nakupenda zaidi
Si ati ni kelele si ati ni chocha
Ukona sura noma bila poda
Vidole zako zinanimaliza
Ukinishika shock stima
Macho zako zinaniangaisha
Ukiniangalia naskia kuzimia
Mguu zako ata usiseme
Kaa hapa me staki uende
Nywele zako ata usiseme
Nikizishika ni raha teleeee.....
CHORUS (MADINI)
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
VERSE 3
Malkia wangu unataka aje
Hii urembo yote tutafanya aje
Mtaani sikai na amani
Kila mtu najua anakutamani
Si Moha si Abduli
Si Juma si Rashidi
Akia Mungu me nitaumiza mtu
Ndio wajue wewe ni bibi ya mtu
Staki mchezo na mali yangu
Staki wavunje nyumba yangu
Staki wakutoe kwangu
Staki mchezo we ni wangu
CHORUS (MADINI)
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
MALKIA eeeeeyeee!!!
UMENIWEZA eeeeyeee!!!
OUTRO(MADINI)
CHEZA MALKIA
NAKUPENDA MALKIA
CHEZA MALKIA
NAKUPENDA MALKIA
CHEZA MALKIA
NAKUPENDA MALKIA
CHEZA MALKIA
NAKUPENDA MALKIA
Written by: Paul Nunda