Music Video

Mathias Walichupa - Mungu Wa Namna Hii [Official Lyric Audio]
Watch Mathias Walichupa - Mungu Wa Namna Hii [Official Lyric Audio] on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Songwriter

Lyrics

Mmhmmm, eeeh Wanilinda usiku na mchana Waniepusha na mitego ya mwovu Dhamana ya maisha yangu Imikononi mwako (mwako) Fadhili zako, hazihesabiki Na upendo wako, hauna mipaka Macho bado hayajaona, mwingine Wakulinganishwa na Wewe MUNGU Mwenye upendo namna hii (aiye-iyee) Mwenye upendo namna hii (mi sijamwona) MUNGU wa namna hii, wa namna hii (ooh-oo) Mimi sijamwona (mi sijamwona) Sijamwona Mwenye upendo namna hii (ah-oye-oye-oye) Mwenye upendo namna hii (iiih) MUNGU wa namna hii (wa namna hii) Wa namna hii (ooh) Mimi sijamwona (mi sijamwona) Sijamwona (aiye-iyee) Oooh, ooh-eee Mimi sijamwona Yuko na mimi (ouh-yeh-yeh) Amenizingira (ouh-yeiee) Pande zote, I'm highly protected Sina mashaka, yuko ndani yangu Huyu YESU, huyu YESU Wewe ni njia, ya kweli na uzima Glorious GOD and beautiful KING Macho bado hayajaona, mwingine Wakulinganishwa na Wewe MUNGU (aaaah) Mwenye upendo namna hii (sijamwona, aiye-iyee) Mwenye upendo namna hii (mi sijamwona) MUNGU wa namna hii (hayupo) Wa namna hii (ooh-oouuh) Mimi sijamwona (mi sijamwona) Sijamwona (kama yeye) Mwenye upendo namna hii (sijamwona, ah-oye-oye-oye-oye) Mwenye upendo namna hii (iiih) MUNGU wa namna hii (wa namna hii) Wa namna hii (ooh) Mimi sijamwona (mi sijamwona) Sijamwona
Writer(s): Mathias Walichupa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out